Hii Tume ya Jaji Chande ni ya kwanza kukataliwa na Wananchi katika Historia ya Tanzania. Hata CHAWA wameikataa

The Khoisan

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2007
Posts
18,900
Reaction score
18,751
Ukweli utabaki kuwa ukweli na Uongo utabaki kuwa uongo.

Tume ya Jaji Chande kwa kweli haijapokelewa vizuri na wananchi. Ripoti imekuja na maswali mengi kuliko majibu na mkutano wao wa jana tarehe 28 April ndiyo naona kama imekoleza moto zaidi. Kwa ujumla hii ripoti imekataliwa hata na MACHAWA kama akina Lucas na Quinen ..... wameshindwa kuitetea.

Nasikia leo Kamati ya CCM inakutana. Labda wanataka kutafuta pa kutokea ...!!
 
LIssu alisema ni ripoti ya kusafisha uchafu wa CCM
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli na Uongo utabaki kuwa uongo.

Tume ya Jaji Chande kwa kweli haijapokelewa vizuri na wananchi. Ripoti imekuja na maswali mengi kuliko majibu na mkutano wao wa jana tarehe 28 April ndiyo naona kama imekoleza moto zaidi. Kwa ujumla hii ripoti imekataliwa hata na MACHAWA kama akina Lucas na Quinen ..... wameshindwa kuitetea.

Nasikia leo Kamati ya CCM inakutana. Labda wanataka kutafuta pa kutokea ...!!
Unaongelea Chawa wa wapi?
 
Njia pekee ya kuleta muafaka ni kwa ICC kuja ili na wenyewe wafanye uchunguzi wao itakayopelekea haki kutendeka.

For Samia to form the so called presidential commission of inquiry is tantamount to Doctor Vulture Treating the Baldness and it's totally unacceptable to all the people who have this country at heart 🙉
 
Hiyo haikuwa tume ya uchunguzi, lilikiwa kundi la wahalifu lililopewa kazi ya kutafuta njia ya kuupaka rangi ya kupendeza uovu wakitarajia watu wataangalia rangi kuliko uovu wenyewe uliopakwa rangi.

Hawa wajumbe wote, wanastahili kuingizwa kwenye kundi la wauaji kwa sababu wameshiriki kuuficha uovu.
 
Judge (rtd) Othman Chande and his accomplices are guilty of abating the crime after trying to protect the perpetrators of the October 29, 2025 genocide that left thousands of innocent people dead.

Retired judge Othman Chande has completely lost respect in the eyes of Tanzanians when he decided to degrade himself and his profession for the sake of material wealth.

Judge Chande has emerged as a worthless person after agreeing to be dictated to by Samia by being forced to submit a fake probe findings aiming at exonerating Samia and his security apparatus that connived to kill thousands of innocent Tanzanians.

Now that the discredited report is out and the majority of Tanzanians have disapproved of it, we now expect the internationally recognized organizations like the Netherlands based International Criminal Court (ICC) to initiate its investigations so as to allow justice to take its course because justice delayed is justice denied.
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli na Uongo utabaki kuwa uongo.

Tume ya Jaji Chande kwa kweli haijapokelewa vizuri na wananchi. Ripoti imekuja na maswali mengi kuliko majibu na mkutano wao wa jana tarehe 28 April ndiyo naona kama imekoleza moto zaidi. Kwa ujumla hii ripoti imekataliwa hata na MACHAWA kama akina Lucas na Quinen ..... wameshindwa kuitetea.

Nasikia leo Kamati ya CCM inakutana. Labda wanataka kutafuta pa kutokea ...!!
Nafahamu hata chawa waliokuwa mstari wa mbele wanajutia na watajutia maisha yao yote kupuuza sauti za kudai haki kwa muda mrefu hata kufikia wakati wa kuwa tayari kufa ili haki ipatikane na ionekane ikitendeka.Najua wengi wanayo huzuni kuu katika mioyo yso hata ahadi za vyeo,mali na hata pesa za papo kwa papo hawazitamani tena na zimepoteza samani mioyoni mwao akilini mwaona hata mwa ndugu zao na familia hata marafiki zao!
 
Sio kwa mwanaccm
 
Kwa dunia ya sasa ni ngumu sana kudanganya watu. Ile ripoti ni zaidi ya upuuzi.

SSH should find better advicers who will tell her the hard truth.
 
Cha ajabu Hata wao wenyewe walioitunga wameikataa 😃😃😃😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom