bablon6
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 630
- 566
Nimemda dukani kwa mangi nimenunua sabuni ya 500 nadai mfuko ananiambia kitu cha 500 nikufungie kwenye mfuko, ingekuwa 1000 labda nikarudisha sabuni nikasema nipe vocha ya 1000 alivonipa nikadai mfuko kunikomoa eti kanipa mfuko mkubwa wa 500 hivi hajui geto nguo chafu zilikuwa ZInazagaa ovyo, ngoja nikazipange sasa. Kitu 2 in 1
JE? WEW ULIPATA KITU GAN KWA 2IN1
JE? WEW ULIPATA KITU GAN KWA 2IN1