Hii tweet ya Nape inamlenga nani?

Hii tweet ya Nape inamlenga nani?

Wanamuziki wa taarabu wanajua na kutoa mafumbo mengi.

Tangu huyu jamaa adhalilike kwa kuomba msamaha amekuwa mkimya sana,sasa anaanza kujisahau.

Lile bao lake la mkono limempatia mimba ya mkononi.

Tutaelewana tu kidogokidogo
 
CCM imeshikwa pabaya. Wananchi wamechoshwa na nyimbo za Stiglers, SGR, fly over and the like ambazo zimesikika kwa miaka mitano huku wao wakiendelea kufa njaa.

Wanataka kusikia kutoka kwa mkombozi atakaye boresha maisha yao.
Inakataliwa kila sehemu labda itabakia mtera tu kwa Kibajaj
 
Mwingine huyo hapo
tapatalk_1583586417821.jpg
 
jingalao,

Tayari kelele za Lissu zimewaibua. Hawa wakato wa lowasa walikuwa vilomolomo sana. Naona wamepigwa ganzi. Wanajifanya eti wanajipanga.

Endeleeni kujipanga sisi tunakata mbuga tu
Speed 120/km /h kwenye kona
 
Back
Top Bottom