Ndio maana ikasemwa kuwa GDP is not a reliable index to measure economic developments, it rather shows the growth in material things regardless of who finally benefits. Kuna nadharia nyingi za ukuaji wa uchumi na zote zina strength na weakness zake.
Ndio maana umoja wa mataifa uliibua njia mbadala kama vile poverty index kwa kuwa vina akisi mabadiliko ya kiuchumi ya mtu mmoja mmoja.
Hivyo Kwa maoni yangu aliyesema GDP sio reliable indicator yuko sahihi kabisa. Tuelewe kitu kimoja, GDP inatumika na Wb na IMF sana sana Lkn mashirika mengi ya UN hutumia index zingine hasa poverty index (gin coefficient kama mtakumbuka) .
Kwa kawaida inawezekana GDP kushuka wakati maisha ya watu yanaimarika zaidi na inawezekana maisha kuwa magumu ilihali GDP Inapanda, which is a case in our Country. Pia, GDP inahesabu malipo kwa kampuni za nje kama za wachina, yepi merkezi, waarabu wa Stigler gorge n.k kama sehemu ya mapato kwa wananchi. Ilihali zile fedha hupelekwa kwenye Nchi zao.
Na kama mjadala huu juu ya GDP mtaungizia siasa, then hautakuwa na hitimisho la maana. Kwa maana ya kuwa GDP ni standard ya WB na IMF. Na taasisi hizi zimeziagiza Nchi zote kutumia standard ya index hiyo.
Mwisho :Kwenye hili lazima wachangiaji tukubali kutokukubaliana. Lakini ukweli utabaki kuwa GDP does not define National economic performances or prosperity if one insist on using it be it a leader or a common person then should consider himself or herself outdated. And there are more than one method to measure economic performance or prosperity of the country. Let's do the homework to learn which one are the other method and which one is the best. Whatever conclusion you come up with in this matter know that it is subjective to your intellect, knowledge, and preferences.
Samahani kwa kuchangia lugha.