Hii tweet ya World Bank Tanzania unaweza fikiri kuwa ni fake

Mada yangu haihusiani na kwamba GDP ni kipimo cha maendeleo ya nchi au la,mada yangu inahusiana na serekali ya Tanzania kudanganya katika utoaji wa data za GDPs.Wao kila mwaka hukomaa na ukuaji wa asilimia 7 kitu ambacho ni uongo.
Ni kweli hilo ndilo lilikuwa lengo lako.
====
Mkuu, unaona ni sawa kuendelea kutumia kipimo cha GDP mbali na mapungufu yote haya yaliyoonyeshwa !?
Mkuu, kwa nini uone shida, umma wa JF, Tanzania na ulimwengu kujuzwa habari za ubovu wa kipimo cha GDP!?
 
Mbona unamshambulia mwenzako!? Ha hahaaa
====
Tuache kujifunga kwenye mizania ya kisiasa. Tuwe objective, palipo na shida tuseme na parekebishwe. Kujadili mada muhimu huku unawaza upinzani wako kwa mtoa hoja, kutasababisha ukose objectivity kwenye uandaaji na utoaji wa maoni yako.
 
Hakujawahi kuwa na conclusion kuwa kitumike kipimo kipi!
 
Question tags ni janga la wengi, jifunzeni kutengeneza question tags katika lugha ya Kingereza jamani. Hii ni shida kwa watu wengi.
Ungemwambia tu hapo mwishoni aweke "isnt it?"
 

Mkuu ukitaka kupima peformance ya kiuchumi ya nchi huwezi kuepuka kutumia GDP

kuna concept ndogo

Economic growth (Ukuaji wa kiuchumi) ambayo hapa tunaangalia vitu vinavyoweza pimwa in quantity au kifupi kifedha kama kiwango cha uwekezaji, import and export, miundombinu etc. Hapa GDP haiepukiki haswa katika kupima economical peformance ya nchi

Economic Development (maendeleo ya kiuchumi) hapa tunaangalia quantity pamoja na quality (vitu visivyopimika kifedha) mfano literacy rate, life expectancy, mortality rate


Naona contradiction kubwa mnataka ipime na Economical development wakati kuna vipimo vingine mnavyoweza kutumia kama ulichokitaja au Human development Index. Pia GDP si kitu kimoja, kuna njia nyingi za kuipata GDP based na mahitaji yako ya Data hivyo si lazma ihusishe uwekezaji wa foreigners

lastly GDP ni kweli huwa haitumiki sana kupima well off ya watu kutokana na Economic structure ya nchi nyingi kutofautiana mfano sekta zinazoendesha ukuaji na impact yake kwa watu, Income distribution katika nchi na vigezo vingine zaidi lakini HII HAIONDOI UMUHIMU WAKE KAMA KIPIMO CHA PEFORMANCE YA UCHUMI WA NCHI
 
Mada yangu haihusiani na kwamba GDP ni kipimo cha maendeleo ya nchi au la,mada yangu inahusiana na serekali ya Tanzania kudanganya katika utoaji wa data za GDPs.Wao kila mwaka hukomaa na ukuaji wa asilimia 7 kitu ambacho ni uongo.


Hoja kubwa hapo ni ama tuziamini takwimu za serikali inayotujengea miundombinu mujarabu na miradi mikumbwa ya maendeleo inayoonekana wazi, ama tuwaamini mabepari na mabeberu ambao wametuibia rasilimali zetu deile na pia wametuletea mtanduko wa korona na kutuuzia chanjo yake!???
 
Kwa maoni yangu ni busara sana kuwaamini wale wanaotoa hela za kututengenezea hiyo miradi yetu mikubwa ya maendeleo.Mtoa hela ndiye Mungu wetu wa pili.
 
Ukielewa sababu kwa nini Iran ilisita sana kuruhusu wataalamu washirika wa hasimu wao mkubwa US kufanya uchunguzi wa mauaji ya ajali ya ndege nchini mwao last year, utagundua kwa nini normally takwimu za mabeberu zinaiweka Tanzania shimoni.
 
Kwa maoni yangu ni busara sana kuwaamini wale wanaotoa hela za kututengenezea hiyo miradi yetu mikubwa ya maendeleo.Mtoa hela ndiye Mungu wetu wa pili.


Wewe ni mbovu kumkichwa, hiyo inajulikana tu mbona. Hivi ukikopa fedha benki, ni mali yako ama ya benki!???
 
Did you hear the opinions of two of them (Dr Blandina Kilama, REPOA and Prof. Ngowi, Mzumbe University) during the launch yesterday? If in most cases, they were not answering the questions, I do not think whether they have the capacity to come up with the alternative measure.
 
GDP is the parameter/index, which carries the lumpsum of several variables! In other words it is not a reliable factor to gauge the prosperity of the country.
Bring your alternative.
 
Waseme wanataka kipimo gani tukitumie badala ya kuelezea mapungufu ya GDP na kubaki hewani bila conclusion.
 
Unavimudu? Fahari ya macho, kuona si kuchukua!
Ujue kitu unaweza ukakimudu ila bado usiwe na access nacho, nenda Saudi Arabia uone kama utapata hivyo vitu kirahisi hata kama unavimudu, kule pombe na wanawake ni kama madawa ya kulevya, we acha tu, bongo sihami.
 
GDP is the parameter/index, which carries the lumpsum of several variables! In other words it is not a reliable factor to gauge the prosperity of the country.
Wangesema imepanda toka 5.8% - 6.9% ungeandika haya haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…