Hii Twitter ya Trump akiipongeza China kwa kupambana dhidi ya Corona wamemuona mnafiki

Hii Twitter ya Trump akiipongeza China kwa kupambana dhidi ya Corona wamemuona mnafiki

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
President Trump kaifutia WHO msaada wa fedha akidai WHO imekuwa upande wa China kwa kuipongeza kwenye kupambana na Coronavirus. Cha ajabu hata yeye aliisifia China January 24.
IMG_20200415_115827.jpg
 
AISE BORA CORONA IISHE .!Nilikuwa namfundisha mtoto wa darasa la pili hesabu za kutoa.nilimuuliza una maandazi 9 ukitoa matatu yatabaki mangapi? AKAJIBU ANKO UKINIPA NA CHAI HALIBAKI HATA MOJA.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unafuatilia mambo,Uhusiano ulikuja kuharibika pale china ilipolishutumu jeshi la marekani kupeleka virus Wuhan...Usikurupeke tu fuatilia vitu.
 
Trump ni mtu wa kukurupuka.. yaani matamko yake yanajicontradict kila siku..

Katika vitu ambavyo sivielewi ni Trump kuwa rais wa US.. hivi kwamba wao hawaoni vitu obvious kwamba jamaa hayuko vizuru upstairs.
 
Hapo ndipo uelewe na wananchi wa US upstairs wana matatizo hivyo hivyo mkuu.
 
Trump ni mtu wa kukurupuka.. yaani matamko yake yanajicontradict kila siku..

Katika vitu ambavyo sivielewi ni Trump kuwa rais wa US.. hivi kwamba wao hawaoni vitu obvious kwamba jamaa hayuko vizuru upstairs.
Kama hufuatilii mienendo ya siasa za dunia ndo utashangaa kwanini Trump kawa rais was USA, kwanza ujue kuanzia mwaka 2012 lilianza vuguvugu la right wing leaders ambao wanamisimamo ya kibaguzi kwa watu ambao siyo Wazungu, nchi kadhaa za ukanda wa Euro zilikumbwa na hizo siasa, zikaenda kuishia USA na Trump akawa rais, hawa watu wa mrengo wa kulia ambao hawapendi mabadiliko huwa wanaamini kuwa wao ndo wanajua kila kitu
 
Trump anazidi kuionyesha sura halisi ya wazungu wa marekani. Wengi wao ni white supremacists na mentality unfit. Akili zao zinakaribiana na za waarabu hasa wale waliokuwa brainwashed na kuamini eti Allah ameagiza wauane kwa kujitoa mhanga.
 
Back
Top Bottom