huyu mzuriKama huyu?View attachment 378357
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]huyu mzuri
Kumbe katiba ikisiginwa unaudhika eeh? Sasa hii ni michezo, vipi katiba ya nchi?Mwenyekiti wa timu anaitisha mkutano wa dharula bila kufata katiba
Mwenyekiti anavua kwanza uanachama watu kadhaa ili kutishia wengine wasimpinge
Analeta ajenda ya dharula kuwa timu inapaswa kukodishwa ili ien deshwe kisasa
Anajipa mamlaka ya kukodi team bure bila hata kutoa sumuni(hata ukumbi ukikodi unalipia jaman)
Anatengeneza mkataba mwenyewe
Anawaaambia watu hana shida na uwanja wala jengo( kwani timu ni uwanja na jengo au nembo na timu?) maana hata awaachie jenngo lile mtafanyia nini? Uwanja ule nani anaweza japo ukodisha aweke kigodoro pale?
Tuseme ukwelo sisi watanzania ni wajinga sana aiseee
Ukweli sisi ni malofa
Yes bora kuliko yule anayetaka kuikodisha bureMie naona afadhali huyu anayetaka kuinunua kwa 20bn, anaweza kushawishiwa hizo 20bn apewe 35% share atafutwe mwingine wa 15bn apwe 25% then hela zikajengee jengo lao na wao wapewe timu na wanachama wauziwe remaining 35%share na zilizobaki wauziwe matajiri wengine kwa ajili ya kupata hela zaidi ya kuiendesha timu