Hii utaikuta Tanzania pekee

Hii utaikuta Tanzania pekee

Mwenyekiti wa timu anaitisha mkutano wa dharula bila kufata katiba

Mwenyekiti anavua kwanza uanachama watu kadhaa ili kutishia wengine wasimpinge

Analeta ajenda ya dharula kuwa timu inapaswa kukodishwa ili ien deshwe kisasa

Anajipa mamlaka ya kukodi team bure bila hata kutoa sumuni(hata ukumbi ukikodi unalipia jaman)

Anatengeneza mkataba mwenyewe

Anawaaambia watu hana shida na uwanja wala jengo( kwani timu ni uwanja na jengo au nembo na timu?) maana hata awaachie jenngo lile mtafanyia nini? Uwanja ule nani anaweza japo ukodisha aweke kigodoro pale?

Tuseme ukwelo sisi watanzania ni wajinga sana aiseee

Ukweli sisi ni malofa
Kumbe katiba ikisiginwa unaudhika eeh? Sasa hii ni michezo, vipi katiba ya nchi?

Mara ngapi tumesikia 'Wazee wa Dar es Salaam' wanaongea na mkuu wa nchi lakini at the same time namuona mzee wangu hana taarifa ya kikao? Kumbe inauma eeh?

Mbona mtu mmoja ameagiza ndege bila...aah, mi naona Yanga wako sahihi, HAPA KAZI TU. Katiba na riwaya yote maandishi. Aliyeshika mpini akamue anavyoona inafaa
 
Mie naona afadhali huyu anayetaka kuinunua kwa 20bn, anaweza kushawishiwa hizo 20bn apewe 35% share atafutwe mwingine wa 15bn apwe 25% then hela zikajengee jengo lao na wao wapewe timu na wanachama wauziwe remaining 35%share na zilizobaki wauziwe matajiri wengine kwa ajili ya kupata hela zaidi ya kuiendesha timu
Yes bora kuliko yule anayetaka kuikodisha bure
 
Back
Top Bottom