Hii VAR ni muda umefika wa kupigwa stop

Hii VAR ni muda umefika wa kupigwa stop

gebu

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
402
Reaction score
246
Kwa kifupi inapunguza radha ya soka na haina mvuto, mtu akizidi hata kidole offside au mpira umguse mchezaji hata mbali penati
 
Wenye soka wameona inafaa sasa wewe unampira gani hadi uone haifai.Mambo mengine lazima yewepo ili maisha yaendelee. unadhani aliyegundua huo mfumo akujipanga kabla kujua soko litakuaje.Hii haina tofauti na aliyegundua kusajili namba ya simu kwa alama ya kidole, maana yake tayari alishajua mahitaji yapo kwaiyo nayeye akapitia hapo hapo.kwaiyo kupambana na mifumo inayotoa fursa kwa watu ni ngumu sana.
 
Kwa kifupi inapunguza Radha ya soka na haina mvuto.mtu akizidi ata kidole offside au mpira umguse mchezaji ata mbali penati
Kabla ya kuitoa VAR tuanze kwanza na marefa maana msimu huu wameleta maamuzi ya kisng sana sijui wanabet? sijawahi ona kabisa maamuzi ya mwaka huu mambo vice versa penati za wazi wanatia mfukoni penat za uwongo wanatoa
 
Wenye soka wameona inafaa sasa wewe unampira gani hadi uone haifai.Mambo mengine lazima yewepo ili maisha yaendelee. unadhani aliyegundua huo mfumo akujipanga kabla kujua soko litakuaje.Hii haina tofauti na aliyegundua kusajili namba ya simu kwa alama ya kidole, maana yake tayari alishajua mahitaji yapo kwaiyo nayeye akapitia hapo hapo.kwaiyo kupambana na mifumo inayotoa fursa kwa watu ni ngumu sana.

Toka mwaka huu uanze sijaona reasoning ya kijinga kama hii,

Hivi mkuu unaangalia kweli mpira au unaangalia kwa bahatisha na mechi mojamoja?

Yaani kama kweli unaangalia soko huwezi bisha kama VAR inazingua

Kuonyesha hii comment ni ya ajabu unashabihisha na usajili wa laini za simu kwa alama za vidole

Yaani huoni kama kuna lengo kubwa sana la kiusalama kwa huo usajili?

Actually lengo la VAR lilikuwa zuri sana na ilikuwa ni kwa ajili ya kupunguza kama sio kuondoa kabisa makosa ya kiamuzi ground

Ila inavyoendeshwa na kutendeka ni kwamba inaharibu zaidi

Sasa ukiwa mpumbavu na kushindwa kureason na kuona kila kinachoamuliw na watu fulani ni sahihi basi huo ni ulemavu.
 
Wakat tunataka hadi marefa wasiwepo uwanjani saivi ni mwendo wa haki bini haki VAR ndo mpango mzima
 
Toka mwaka huu uanze sijaona reasoning ya kijinga kama hii,

Hivi mkuu unaangalia kweli mpira au unaangalia kwa bahatisha na mechi mojamoja?

Yaani kama kweli unaangalia soko huwezi bisha kama VAR inazingua

Kuonyesha hii comment ni ya ajabu unashabihisha na usajili wa laini za simu kwa alama za vidole

Yaani huoni kama kuna lengo kubwa sana la kiusalama kwa huo usajili?

Actually lengo la VAR lilikuwa zuri sana na ilikuwa ni kwa ajili ya kupunguza kama sio kuondoa kabisa makosa ya kiamuzi ground

Ila inavyoendeshwa na kutendeka ni kwamba inaharibu zaidi

Sasa ukiwa mpumbavu na kushindwa kureason na kuona kila kinachoamuliw na watu fulani ni sahihi basi huo ni ulemavu.
Huyo aliefananisha soka na usajili wa line achana naye, hajui hata security katika mawasiliano ni tofauti kabisa na Burudani.

Nimesoma alichoandika anaonekana si mwanasoka ni mbabaishaji tu.

VAR imepunguza ladha ya soka kwa zaidi ya 40% waitaliano wanalijadili hili.
 
Wenye soka wameona inafaa sasa wewe unampira gani hadi uone haifai.Mambo mengine lazima yewepo ili maisha yaendelee. unadhani aliyegundua huo mfumo akujipanga kabla kujua soko litakuaje.Hii haina tofauti na aliyegundua kusajili namba ya simu kwa alama ya kidole, maana yake tayari alishajua mahitaji yapo kwaiyo nayeye akapitia hapo hapo.kwaiyo kupambana na mifumo inayotoa fursa kwa watu ni ngumu sana.
Ujinga
 
Toka mwaka huu uanze sijaona reasoning ya kijinga kama hii,

Hivi mkuu unaangalia kweli mpira au unaangalia kwa bahatisha na mechi mojamoja?

Yaani kama kweli unaangalia soko huwezi bisha kama VAR inazingua

Kuonyesha hii comment ni ya ajabu unashabihisha na usajili wa laini za simu kwa alama za vidole

Yaani huoni kama kuna lengo kubwa sana la kiusalama kwa huo usajili?

Actually lengo la VAR lilikuwa zuri sana na ilikuwa ni kwa ajili ya kupunguza kama sio kuondoa kabisa makosa ya kiamuzi ground

Ila inavyoendeshwa na kutendeka ni kwamba inaharibu zaidi

Sasa ukiwa mpumbavu na kushindwa kureason na kuona kila kinachoamuliw na watu fulani ni sahihi basi huo ni ulemavu.
Umeelewa lakini nilichoandika au umejibu kwa mihemko?.
 
VAR ni mpango madhubuti wa wachezesha kamali wakishirikiana na baadhi ya viongozi wakubwa wa soka duniani wasio waaminifu ili kujipatia faida kubwa ya michezo hiyo ya bahati nasibu kwenye soka.

VAR inatumikaje? VAR inatumia utaalamu wa Artificial intelligence kupitia mfumo wa Computer vision. Kuna algorithm zinazowezesha VAR kutoa maamuzi kwa kutumia Image processing. Sasa wakati mechi inaendelea kukitokea maamuzi ya utata yanayoweza kupunguza faida ya betting(kumbuka wakati mechi inachezwa tayari watu wabetting wanakuwa wanajua watu wengi wamebashiri matokeo gani), basi algorithm uchezewa codes ili kutoa matokeo wanayotaka watu wa betting.

Kumbuka refa anavifaa vya mawasiliano ni rahisi sana kuambiwa sasa tumia VAR ama hiyo acha na watu wa betting . Mnakumbuka michezo BINGO iliyokuwa inachezweshwa kwenye runinga hapa nchini!?

Kilichoua radha ya mpira ni kuingiza biashara ya betting kwenye soka. Je. Tunaweza kuzuia betting kwenye soka ?
===
Uko huru kusema hii ni conspiracy theory dhidi ya watu wa betting, lakini ukweli uwenda ukawa umesemwa.
 
Back
Top Bottom