Hii VAR ni muda umefika wa kupigwa stop

Hii VAR ni muda umefika wa kupigwa stop

Mkuu sijafuta comment yangu pale juu,

Ila naomba niongeze hivi wewe ni MPUMBAVU

Msimu wa 2019/2020 mpaka sasa nimeangalia mechi kwa asilimia 95%

Ni mechi chache sana sijaziona

Ila nime-conclude VAR ni takataka

Kwa taarifa yako mimi nilikuwa fan sana wa hii kitu wakati inaanzishwa,

Aisee mtu angeisema vibaya ningemuua ila kadri nnavyoendelea kuangalia naona VAR ni upuuzi kabisa

Kwenye kosa clear wanapeta

Kwa taarifa yako na upumbavu wako hata wazungu wenyewe na hasa wa-uingereza tena wanaohusika na hiyo VAR moja kwa moja wanadai kuna makosa yanatoke

Na mpaka mwenyeti wao alikiri hata VAR inakosea

Sasa kwa sababu wewe ni mpumbavu kila kitu hutaki hata kureason

Kaa na UPUMBAVU wako.

Game ngapi hasa ambazo umeziona wewe?

Wengine hizo game hatujaziona ama

Soma jinsi hao mabwana zako wanavyoijadili hivyo VAR

Usikurupuke tu kijinga kijinga na ubishi wa hovyo hovyo
Swali ni moja kabla ya VAR na baada ya VAR kipindi kipi kilikuwa na makosa zaidi?
 
In any case, refa alitakiwa asimamishe mpira na VAR itizamwe ili pande zote zijiridhishe. Kitendo cha refa kupeta, basi tayari kinaonesha kuwa ndio dhamira iliokuwepo kuwanyima city tu.

Nakumbuka game ya MUFC na Liver (sina uhakika zaidi) goli la lfc ilikuwa likataliwe kwa kufikiri kuwa offside, iliitwa VAR wakati haikuhitajika hata VAR kufanya maamuzi mana clearly ilikuwa sio offside.
Hayo ni makosa ya Refa na sio VAR,kama umenielewa utaelewa wanapochanganya wengi makosa ya refa wanayaita madhaifu ya VAR,maana VAR isingekwepo hilo goli lingekataliwa
 
Swali ni moja kabla ya VAR na baada ya VAR kipindi kipi kilikuwa na makosa zaidi?

Tumeleta VAR ili iweje?

Tumeleta VAR ili kuwe na perfection fulani hata kama sio 100% basi iwe walau 95+%

Hii VAR ukiangalia ilivyo sasa hata 50% sidhani kama inafika maamuzi ya kijinga na yasiyo na maana mara kazido kichwa sijui mguu ndo kitu gani,

Mtu anachezewa rafu mapema kabisa zinapita almost pasi 10 kumi goli linafungwa wanakwenda kwenye VAR si ujinga huo.
 
siyo kweli , VAR inatumika kuipa ubingwaLIVERPOOL
Huo ni mtizamo wako mkuu,ila unachopaswa kuelewa Liverpool kapambana sana huu msimu,yaan kafungwa mechi moja tu msimu katika makombe yote anayoshiriki sasa nashangaa kuona mnasema Liverpool anabebwa kuchukua Kombe wakati hao waliobakia karibia kila timu imefungwa si chini ya mechi mbili kwa EPL bila kuhusisha makombe mengine,kuna muda tuwe tunaacha ushabiki mkuu na tustick kwenye ukweli,hao akina Man City,Chelsea,Arsenal na Spurs wanapigwa na akina Sheff,Norwich na Brighton halafu mnkuja kuwafananisha na Liver ambayo ni unbeaten mpaka sasa kwa kudraw game na MUFC,Nahitimisha kwa kusema Mimi ni Shabiki wa Ole Squard @UshabikiPembeniUkweliKwanza
 
Tumeleta VAR ili iweje?

Tumeleta VAR ili kuwe na perfection fulani hata kama sio 100% basi iwe walau 95+%

Hii VAR ukiangalia ilivyo sasa hata 50% sidhani kama inafika maamuzi ya kijinga na yasiyo na maana mara kazido kichwa sijui mguu ndo kitu gani,

Mtu anachezewa rafu mapema kabisa zinapita almost pasi 10 kumi goli linafungwa wanakwenda kwenye VAR si ujinga huo.
Kwan hizo sheria zinatungwa wakati wa mchezo kana kwamba zinakuwa ngeni kwako au kwa wachezaji?
 
Hayo ni makosa ya Refa na sio VAR,kama umenielewa utaelewa wanapochanganya wengi makosa ya refa wanayaita madhaifu ya VAR,maana VAR isingekwepo hilo goli lingekataliwa
Ndio refa ameplay his part kusaidia timu. Refa ndio anatoa call ya VAR itizamwe na anapouchana anaaminisha kuwa VAR haihitajiki kila kitu kipo clear wakati sio kweli
 
Wadau naomba kama kuna admin wa magroup ya michezo whtsp aniunganishe
0766721492
 
Back
Top Bottom