Mkuu sijafuta comment yangu pale juu,
Ila naomba niongeze hivi wewe ni MPUMBAVU
Msimu wa 2019/2020 mpaka sasa nimeangalia mechi kwa asilimia 95%
Ni mechi chache sana sijaziona
Ila nime-conclude VAR ni takataka
Kwa taarifa yako mimi nilikuwa fan sana wa hii kitu wakati inaanzishwa,
Aisee mtu angeisema vibaya ningemuua ila kadri nnavyoendelea kuangalia naona VAR ni upuuzi kabisa
Kwenye kosa clear wanapeta
Kwa taarifa yako na upumbavu wako hata wazungu wenyewe na hasa wa-uingereza tena wanaohusika na hiyo VAR moja kwa moja wanadai kuna makosa yanatoke
Na mpaka mwenyeti wao alikiri hata VAR inakosea
Sasa kwa sababu wewe ni mpumbavu kila kitu hutaki hata kureason
Kaa na UPUMBAVU wako.
Game ngapi hasa ambazo umeziona wewe?
Wengine hizo game hatujaziona ama
Football laws may need changing if VAR controversy is to reduce dramatically, a Premier League club executive said.
www.google.com
Soma jinsi hao mabwana zako wanavyoijadili hivyo VAR
Usikurupuke tu kijinga kijinga na ubishi wa hovyo hovyo