HahahahaOzil alizidi macho
[emoji51] [emoji51] [emoji51] We jamaaOzil alizidi macho
Waulize Manchester United kama VAR haifai uone watakujibu vp.
Ozil alizidi macho
Kabla ya kuitoa VAR tuanze kwanza na marefa maana msimu huu wameleta maamuzi ya kisng sana sijui wanabet? sijawahi ona kabisa maamuzi ya mwaka huu mambo vice versa penati za wazi wanatia mfukoni penat za uwongo wanatoaKwa kifupi inapunguza Radha ya soka na haina mvuto.mtu akizidi ata kidole offside au mpira umguse mchezaji ata mbali penati
Wenye soka wameona inafaa sasa wewe unampira gani hadi uone haifai.Mambo mengine lazima yewepo ili maisha yaendelee. unadhani aliyegundua huo mfumo akujipanga kabla kujua soko litakuaje.Hii haina tofauti na aliyegundua kusajili namba ya simu kwa alama ya kidole, maana yake tayari alishajua mahitaji yapo kwaiyo nayeye akapitia hapo hapo.kwaiyo kupambana na mifumo inayotoa fursa kwa watu ni ngumu sana.
Hata Zuma mbona alizidi mdomo tuOzil alizidi macho
Huyo aliefananisha soka na usajili wa line achana naye, hajui hata security katika mawasiliano ni tofauti kabisa na Burudani.Toka mwaka huu uanze sijaona reasoning ya kijinga kama hii,
Hivi mkuu unaangalia kweli mpira au unaangalia kwa bahatisha na mechi mojamoja?
Yaani kama kweli unaangalia soko huwezi bisha kama VAR inazingua
Kuonyesha hii comment ni ya ajabu unashabihisha na usajili wa laini za simu kwa alama za vidole
Yaani huoni kama kuna lengo kubwa sana la kiusalama kwa huo usajili?
Actually lengo la VAR lilikuwa zuri sana na ilikuwa ni kwa ajili ya kupunguza kama sio kuondoa kabisa makosa ya kiamuzi ground
Ila inavyoendeshwa na kutendeka ni kwamba inaharibu zaidi
Sasa ukiwa mpumbavu na kushindwa kureason na kuona kila kinachoamuliw na watu fulani ni sahihi basi huo ni ulemavu.
UjingaWenye soka wameona inafaa sasa wewe unampira gani hadi uone haifai.Mambo mengine lazima yewepo ili maisha yaendelee. unadhani aliyegundua huo mfumo akujipanga kabla kujua soko litakuaje.Hii haina tofauti na aliyegundua kusajili namba ya simu kwa alama ya kidole, maana yake tayari alishajua mahitaji yapo kwaiyo nayeye akapitia hapo hapo.kwaiyo kupambana na mifumo inayotoa fursa kwa watu ni ngumu sana.
Hahaha mess mwenyew alihisi ndevu zitazidi akanyoaHata Zuma mbona alizidi mdomo tu
Umeelewa lakini nilichoandika au umejibu kwa mihemko?.Toka mwaka huu uanze sijaona reasoning ya kijinga kama hii,