Hii video inasadifu jambo katika taifa letu naiombea mema Tanzania

Hii video inasadifu jambo katika taifa letu naiombea mema Tanzania

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
20,877
Reaction score
43,633
Hii video inasadifu Jambo katika taifa letu....
Thank Lord
Naona covid ikidunda
Yaan kariakoo leo shangwe Kama lotee hakuna mask tenaaa
Kikubwa
Tuendelee kuchukua tahadhari zote
Yasije yakatukuta aliyo tabiri zito kabwe
 
View attachment 1457554
zito angesema na yeye anatupa muda gani tutaanza kufa kama kuku wa mdondo.
maana mabeberu walitupa mpaka mid april maiti zitatapakaa barabarani africa nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haki naomba Mwenyaazi Mungu asikie maombi ya Watanzania, maana kiuhalisia tunajijua wenyewe kutokana na maisha yetu.

Jirani mmoja yeye kaweka tangazo (
jana nilitaka kulipiga picha limeloa na mvua) getini likisomeka hivi; 'Ndugu, majirani na marafiki tunawapenda sana, ila wakati huu wa corona kila mtu abaki nyumbani kwake tu'.
 
Back
Top Bottom