Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
zito angesema na yeye anatupa muda gani tutaanza kufa kama kuku wa mdondo.Hii video inasadifu Jambo katika taifa letu....
Thank Lord
Naona covid ikidunda
Yaan kariakoo leo shangwe Kama lotee hakuna mask tenaaa
Kikubwa
Tuendelee kuchukua tahadhari zote
Yasije yakatukuta aliyo tabiri zito kabwe
View attachment 1457554
Haahaaazito angesema na yeye anatupa muda gani tutaanza kufa kama kuku wa mdondo.
maana mabeberu walitupa mpaka mid april maiti zitatapakaa barabarani africa nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii iki - backfire tutalia na kusaga meno.Ukwel ni kwamba RAIA wengi wengi wameacha kuchukua tahadhari , mtaa Wa Congo hakupitiki , kuna nyomi na hakuna tahadhari yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo zile bilion 8 alizopora Mbowe ni sehemu y hizo milin 50Duu h! Babu magufuli mil 50 kila kijiji utatupatia lini.