Hii video ndio inathibitisha kwamba lulu alidanganya umri

Sawa!


Changamoto za maisha hizo zaweza kuwa moto,baridi ,chungu, tamu.


Hivyo akwende jela asikwende jela Maisha ya Watu wengine lazima ya songe.
 
Kumbukumbu nyingine waweza kuzikana Wallah. .
 
Haya ndio madhara ya mtoto kukua bila baba nyumbani. Lulu ni zao la bad parenting. Ndio maana naogopa kuzalisha mtoto wa mtu kisha nisiishi nae mwanangu kuja kua kibaka kama huyu.

Najua wiki ijayo atakula miaka ili iwe fundisho kwake na kwa wazazi wake.
 
Naomba kama unapicha ya mamaake Lulu na Babaake lulu uiweke hapa?je wanaenda mahakamani?
 
Mmm. Angepunguza drama watu wasinge expose hizi siri zake..

Ni muhimu kuwa mpole hasa ukiwa kwenye tuhuma sensitive kama hizi, all the best though
 
Tena usithubutu kabisa kuzaa bila mpango! Baki na msimamo huohuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…