Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Hii video ilikuwa published oct 26 2011 ni baada ya birthday yake ya miaka 18.
lengo langu sio kumkandia aozeee lupango ila naweka kumbukumbu sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii video ilikuwa published oct 26 2011 ni baada ya birthday yake ya miaka 18.
lengo langu sio kumkandia aozeee lupango ila naweka kumbukumbu sawa.
Sijakuelewa mkuu mbna unanitukanaNikajua kuna kidoti/nukta umenote kumbe hovyo kabisa, low brain mkubwa.
Hahaha hi bongo bhana uoni wema kagandia kwenye 27Kuna kipindii lulu alikuwaa anatangaza kipindii cha watoto itv, alikuwaa kama miaka 12 hivi, mimi nilikuwa na miaka 9 darasa la tatu. Ila nilivyokuwa mkubwa nashangaa nimempita umri mpaka sasa lulu ni mdogo wangu nimemzidi umri yani
Tena usithubutu kabisa kuzaa bila mpango! Baki na msimamo huohuoHaya ndio madhara ya mtoto kukua bila baba nyumbani. Lulu ni zao la bad parenting. Ndio maana naogopa kuzalisha mtoto wa mtu kisha nisiishi nae mwanangu kuja kua kibaka kama huyu.
Najua wiki ijayo atakula miaka ili iwe fundisho kwake na kwa wazazi wake.