Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuna kipindii lulu alikuwaa anatangaza kipindii cha watoto itv, alikuwaa kama miaka 12 hivi, mimi nilikuwa na miaka 9 darasa la tatu. Ila nilivyokuwa mkubwa nashangaa nimempita umri mpaka sasa lulu ni mdogo wangu nimemzidi umri yani
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kumbukumbu nyingine waweza kuzikana Wallah. .
hahahahaKuna kipindii lulu alikuwaa anatangaza kipindii cha watoto itv, alikuwaa kama miaka 12 hivi, mimi nilikuwa na miaka 9 darasa la tatu. Ila nilivyokuwa mkubwa nashangaa nimempita umri mpaka sasa lulu ni mdogo wangu nimemzidi umri yani
[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]Afungwe tu sasa ili hizi drama zake ziishe.
Wengi wako hivyo mpaka wanasiasa na hata watu wa diniLulu huwa ni muongo muongo sana kwenye interview anazofanya
Ndio nchi yetu hii! Kama Bwana yule!Lulu huwa ni muongo muongo sana kwenye interview anazofanya