Hii Video ya Eddy Kenzo iliyofanywa na HansCanna.. Shauri Yako.

Hii Video ya Eddy Kenzo iliyofanywa na HansCanna.. Shauri Yako.

Wewe utakua umetumwa kuitafutia views hii video, ni nzuri!
 
Bonge moja la nyimbo plus BonGe la video.. Kilichofanyika ni ubunifu wa hali ya juu wa director kwa kuweka vionjo vya kipwani..
 
nyimbo nzuri na video nzuri pia.

yani mtu atoke Uganda kuja Zanzibar kufanya video bila kuweka vionjo vya mwambao??
 
Wabongo kwa kupondana aiseee wakati wakienda South wanafanyiwa video mbovu bora hata hiyo
 
Naona umeamua kuutangaza mziki wake upate viewers zaidi huko utube
 
Back
Top Bottom