Hii video ya IYO, inadhihirisha kiasi gani Diamond Platnumz yupo serious kwenye investment ya music videos!

I support this ila hanscana apewe heshima yake aseeh
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Video sio mbaya sana

Nimefurahia kuona uwepo wa txc
 
Nishaongeza views 😀😀
 
Vile vitoto vya kayumba vinavyocheza nimevifurahia aisee, hao wadada sjui amewatolea wapi , Wana viuno vigumu kama kichwa cha Mkaruka
I have no doubt, Mkaruka is a smart guy lakini linapokuja suala la Diamond, jamaa lazima apeleke akili likizo!! Sijuwi aligongewa demu wake huyu 🤣 🤣 !! Ni kama Matola tu!! Halafu Matola mwenyewe simuoni siku hizi!! Sijui ndo huyu Mkaruka 🤣🤣🤣
 
Nishaongeza views [emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
I support this ila hanscana apewe heshima yake aseeh
Sisi tunasubiri mziki mzuri hizo nyimbo zenu za kelele endeleeni nazo by the bora ingekua singeli kidooogo ningeshawishika ila sio amapiano
Nasikia makelele ya pumba za kizulu na kiswahili kisichoelewaka tu.
Baada ya kuifungua na kuona video YouTube ndio nkagundua lengo la mtoa mada....
Huyu mkuu anaitafutia "Iyo" viewers huku JF.

Full stop.
 
Baada ya kuifungua na kuona video YouTube ndio nkagundua lengo la mtoa mada....
Huyu mkuu anaitafutia "Iyo" viewers huku JF.

Full stop.
Ndio maana nimemkejeli hapo 😀😀
 
Kazi iendelee 🙌🏽
 
Mmmh aisee hapana! Sio Diamond ninayemfahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…