Hii video ya IYO, inadhihirisha kiasi gani Diamond Platnumz yupo serious kwenye investment ya music videos!

Lakini Ni Bora zaid kuangalia video yake uku ume mute sauti[emoji28][emoji28]
 
No. 1 on trending week ya 47 mfululizo
 
Japo si kweli kwamba video ni ya gharama sana ila ni kali.

Jamaa kwenye video haniangushagi hata siku moja, toka katoka huyu jamaa video hazingui, anafikiria sana kabla ya kuachia chupa, unaweza usiipende audio ila video ikakukalisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…