Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Suala si kushinda nyumbani, kikubwa ni aggregate na nani anasonga mbele.Hapo Mnyama hajawahi kupoteza game Tanzania dhidi ya wa Misri. Ushindi mara 5 na droo 1.
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala si kushinda nyumbani, kikubwa ni aggregate na nani anasonga mbele.
Safari ya Kigoma haijalishi umerudia wapi. Iwe Morogoro, Tabora au Uvinza bado hujafika Kigoma mwisho wa reli.
Yeah, hao Waarabu koko chapa wote hao pale taifa.Hii ina maana kubwa sana kwa kuwa sasa hivi hatua ya makundi hatuangalii aggregate, muhimu kushinda home then ugenini watafute droo atleast moja kati ya tatu inatosha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala si kushinda nyumbani, kikubwa ni aggregate na nani anasonga mbele.
Safari ya Kigoma haijalishi umerudia wapi. Iwe Morogoro, Tabora au Uvinza bado hujafika Kigoma mwisho wa reli.
Indirectly unaingalia.Hii ina maana kubwa sana kwa kuwa sasa hivi hatua ya makundi hatuangalii aggregate, muhimu kushinda home then ugenini watafute droo atleast moja kati ya tatu inatosha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app