Hii vita ya ndugu,hatuwezi kuingilia

Hii vita ya ndugu,hatuwezi kuingilia

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Screenshot_2019-01-07-18-55-28.png
 
Hii ina maana kubwa sana kwa kuwa sasa hivi hatua ya makundi hatuangalii aggregate, muhimu kushinda home then ugenini watafute droo atleast moja kati ya tatu inatosha sana.
Suala si kushinda nyumbani, kikubwa ni aggregate na nani anasonga mbele.

Safari ya Kigoma haijalishi umerudia wapi. Iwe Morogoro, Tabora au Uvinza bado hujafika Kigoma mwisho wa reli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah, hao Waarabu koko chapa wote hao pale taifa.
 
Kwenye makundi wanaangalia aggregate au msimamo?
Suala si kushinda nyumbani, kikubwa ni aggregate na nani anasonga mbele.

Safari ya Kigoma haijalishi umerudia wapi. Iwe Morogoro, Tabora au Uvinza bado hujafika Kigoma mwisho wa reli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi ya Js soura itatupa mwanga, soka lina historia ila historia haichezi.
Simba nguvu moja
 
Back
Top Bottom