OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Swali ni nini?
Uliza swali kuhusiana na mada hii? Wengi madarasa ya fasihi hatukuhudhuria
Ndio maana UKAWA wanamtaka huyu jamaa. Kwani akipitishwa itakuwa rahisi kwao kumchinja na kuiua CCM kabisaSijawahi hata siku moja kufikiri mtu wako atakuwa rais pamoja na kelele zote!na iwapo atakuwa itabidi watanzania tujichunguze akili zetu.
Masikini mashabiki wao. Maana wenyewe hawana ambulance hivyo watafia vijiweni na vi elfu kumi kumi walivyo kuwa wanapewaKuna wagombea wengine wameshaandaa ambulance kabisaaaa! Wakipigwa chini wasife kirahisi, walau wafie mikononi mwa madaktari
Usiwe mgumu kukubali. Ni kweli kabisa yote hayo yamepangwa na Mungu. Labda swali liwe ni Mungu yupi maana wako wengi. Kuna Mungu wa ISIS, AlQaeda, Alshabab na Siasa kali yeye Anakunywa damu kila kukicha. Kuna Mungu wa wajapani yeye hakuna kulala ni kazi na kujenga uchumi kwenda mbele. Halafu kuna Mungu wa Watanzania, unafiki wa Mapambio, ibada za uongo na kweli, kufunga mwezi Mzima kinafiki, ngono na miziki ya kishenzi pamoja na ujinga uliokithiri. Huyu ndie anatuamulia marais pamoja na matukio yote uliyoyatajaMungu anasingiziwa mengi kweli kweli Duniani na haswa Tanzania,lakini Yote hii ni ulaghai na umbumbu pia!!
Hivi Mungu ndo alipanga Kikwete awe raisi na kuwatumia wakina Lowasa na Rostam Aziz wamtafutie uraisi Kikwete??!!
Mungu ndio Kapangwa Ridhiwani Kikwete awe mbunge wa Chalinze huku Baba akiwa raisi na pia Kikwete,Salma na Ridhiwani na yule mjomba wa Bagamoyo wawe wote wajumbe wa NEC??!!
Mungu ndio alipanga Mgabe awe raisi wa Zimbabwe kwa miaka dahali mpaka anakaribia kupoteza fahamu na uwezo wa umakini huku akisema bado tena miaka 25??!!
Mungu ndio alipangwa Daud Mwangosi apigwe bomu mbele ya RPC na askari wanne halafu RPC ndio apandishwe cheo??!!
Mungu ndo kapanga alibino wa Tanzania tu wauliwe na kukatwa katwa viungo vyao na binadamu wenzao??!!
Mungu ndo kapanga Tanzania tuwe masikini ili hali katujaalia kila mali asili yenye utajiri??!
Mungu ndo kapanga viongozi wetu baada ya Nyerere wakubuhu kwa wizi na ufisadi huku wakijali tu nepotism??!!
Pasco mkuu najua unajua na unakubali unaabudu brown envelopes,je siku hizi unakula maharage ya wapi??!!
cc Pasco
Usiwe mgumu kukubali. Ni kweli kabisa yote hayo yamepangwa na Mungu. Labda swali liwe ni Mungu yupi maana wako wengi. Kuna Mungu wa ISIS, AlQaeda, Alshabab na Siasa kali yeye Anakunywa damu kila kukicha. Kuna Mungu wa wajapani yeye hakuna kulala ni kazi na kujenga uchumi kwenda mbele. Halafu kuna Mungu wa Watanzania, unafiki wa Mapambio, ibada za uongo na kweli, kufunga mwezi Mzima kinafiki, ngono na miziki ya kishenzi pamoja na ujinga uliokithiri. Huyu ndie anatuamulia marais pamoja na matukio yote uliyoyataja
Ndio maana UKAWA wanamtaka huyu jamaa. Kwani akipitishwa itakuwa rahisi kwao kumchinja na kuiua CCM kabisa
Kwa ziara alizo zifanya mkuu wa utendaji katika chama, dalili zipo wazi kwamba ndie atakae pewa bendera kuipeperusha..Kuna tathimini imefanywa kuhusu yeye na ushawishi kwa wananchi pamoja na wanachama.
Hii itafanyika ili kunusuru mpasuko maana kila kambi yenye nguvu inakubaliana nae..
Mbona siku hizi huna jipya?,,au umri unachangia pia!
Then hii thread inakuzidi kimo, bakia kuwa msomaji tu, wenyewe tunaelewana vizuri tu Bonafide genuine.
Mkuu kama kweli sauti ya wengi ndio sauti ya Mungu mbona kauli hii haikudhihirika Shinyanga mjini 2010?