wewe umesoma shule moja ya dini kule mwanza olevel!!!Niaje mabibi na mabwana hopefully y'all doing okay!
Aight let's go...
Mada ni hii kwa wewe mwanamke mlimbwende kabisa ni kitu gani unaangalia kwa mwanaume kwa mara ya kwanza pale anapokutongoza?
Mrembo flani hapa Ofisi nilipomuuliza yeye alijibu hivi "kwanza naangalia muda alonitongoza,kama ni mapema sana let's say asubuh then huyu mwanaume Hana kazi ya kufa anatafuta ajira ya kuchakaza papuchi tu,the a big No toim.
Wanaume hapa msikilize kwa makini wadada wakimwagika maana itakuwa ni first strategy to the winning the battle of approaching.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umemaliza kilakitu....Mimi kama KATIBU WA WANAUME, Nasikitika kuona baadhi ya wanaume hadi sahivi hamjui mwanamke anataka nini!....
hainiingii akili mwanamme kabisa usijue mwanamke anachohitaji unless wewe uliyeuliza hili swali ni mtoto Wa kiume na si mwanaume!!
Wanaume Tunasafari ndefu sana kama mambo yenyewe ndo hivi....
Nimesoma Olevel na A level Mzumbe sec.wewe umesoma shule moja ya dini kule mwanza olevel!!!
π³π³ ni wewe kweeli?KUMBE UZI WA KIKE?
[emoji177][emoji177]Kwanza mimi huwa check kama uko smart, humble , care, en so many things
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ³π³ ni wewe kweeli?
Bado kidogo nikupite maana si kwa kunenepa huko rafiki πππ
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Ambiere ute kituhumtoa mada mwanamke, ametoa mada kwenda kwa wanawake wenzie
na siyo asante kwa kukomenti na ku view