thA goD
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 1,943
- 1,851
Niaje mabibi na mabwana hopefully y'all doing okay!
Aight let's go...
Mada ni hii kwa wewe mwanamke mlimbwende kabisa ni kitu gani unaangalia kwa mwanaume kwa mara ya kwanza pale anapokutongoza?
Mrembo flani hapa Ofisi nilipomuuliza yeye alijibu hivi "kwanza naangalia muda alonitongoza,kama ni mapema sana let's say asubuh then huyu mwanaume Hana kazi ya kufa anatafuta ajira ya kuchakaza papuchi tu,the a big No toim.
Wanaume hapa msikilize kwa makini wadada wakimwagika maana itakuwa ni first strategy to the winning the battle of approaching.
Sent using Jamii Forums mobile app