kumbe siwez kosa mke aisee!.Me naangalia kama ni handsome kwanza yani ni lazima ASA mtoto tukizaa atakuwajeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..then naangalia body language yake ndo nitajua ananipenda au katamani then......ngoja nifupishe maana itakuwa gazeti niruhusu wengine ....napenda wanaume shy yani
Vigezo vyote ulivyotaja ninavyo,bahati iliyoje hii.Me naangalia kama ni handsome kwanza yani ni lazima ASA mtoto tukizaa atakuwajeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..then naangalia body language yake ndo nitajua ananipenda au katamani then......ngoja nifupishe maana itakuwa gazeti niruhusu wengine ....napenda wanaume shy yani
Hahahahha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaah! ni mimi rafiki wala usiogope mambo sio mabaya aiseeπ³π³ ni wewe kweeli?
Bado kidogo nikupite maana si kwa kunenepa huko rafiki πππ
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ