Hii wanaume kuweni wapole kidogo

Hii wanaume kuweni wapole kidogo

Me naangalia kama ni handsome kwanza yani ni lazima ASA mtoto tukizaa atakuwajeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..then naangalia body language yake ndo nitajua ananipenda au katamani then......ngoja nifupishe maana itakuwa gazeti niruhusu wengine ....napenda wanaume shy yani
kumbe siwez kosa mke aisee!.
 
Vigezo vyote ulivyotaja ninavyo,bahati iliyoje hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😳😳 ni wewe kweeli?

Bado kidogo nikupite maana si kwa kunenepa huko rafiki 🙈🙈🙈

🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Hahaah! ni mimi rafiki wala usiogope mambo sio mabaya aisee
 
Back
Top Bottom