Wandugu,kwanza ahsanteni sana kwa ushauri na tiba mbadala,kwa kweli jamii forum iko juu sana,sasa jamani kuna tatizo,kuna shemeji yetu mmoja anahitaji msaada wa hali na mali,tatizo ni kwamba ana maziwa makubwa mpaka mwenyewe yamnyima amani wandugu,hana mtoto hata mmoja,miaka 24 tu aliyonayo,tumsaidieje jamani