Hii washing room ktk toilet za kiume mmmmh!

Hii washing room ktk toilet za kiume mmmmh!

CPU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
3,858
Reaction score
687
Akina dada naomba mnisamehe kwa hii picha, ila nataka kuelimisha watu hasa watanzania wenzangu kuhusu wenzetu "WANAVYOPIGA HATUA" mbele kwa udhalilishaji kwa design mpya kila siku.

man_wash_hands.jpg
 
Imagine Public toilets za Dar zipo hivi . . . .
 
lile ya mwisho kule upande wa kulia imetisha.
 
Zinabonyea? Kama hazibonyei hazina mvuto. Halafu ni wachina hao
 
lile ya mwisho kule upande wa kulia imetisha.

Yaani wewe ndo nilikuwa nakutafuta!!!! Daaah!!! Watu wana macho balaa! Unajua haswaa kuangalia picha vizuri
 
....Ha ha ha ha ha ha ha ha ha...........kama sio mambo ya photoshop........ukistaajabu ya musa.............
 
Akina dada naomba mnisamehe kwa hii picha, ila nataka kuelimisha watu hasa watanzania wenzangu kuhusu wenzetu "WANAVYOPIGA HATUA" mbele kwa udhalilishaji kwa design mpya kila siku.

View attachment 21277

Duh! Hii KIBOKO. Hasa ile ya kule mwisho. Hiyo inabidi unawe huku umechuchumaa kidogo. Sisi wapiga tungi/chicha/kilauri/matingazi/maji ya mende tunaomba huduma hii isambae nchi nzima. Natumaini mawaziri na wabunge wenye biashara za baa na mahoteli makubwa mnaweza iga utaratibu huu.
 
very difficult to comment, but if i could, i would wash my hands in not less than 4hrs. tehe heheheheheehe
 
hiyo itakuwa vyoo vya walevi sio sehemu unayoweza mualika baba askofu
 
very difficult to comment, but if i could, i would wash my hands in not less than 4hrs. tehe heheheheheehe

Daaah! Sasa kama kwa movement moja ya toilet unaosha 4hrs, ukienda mara 3 je?? Kazini itakuwaje?? Hahahahah
 
Daaah! Sasa kama kwa movement moja ya toilet unaosha 4hrs, ukienda mara 3 je?? Kazini itakuwaje?? Hahahahah

utashangaa mtu anamaliza kunywa soda halafu anasema anaenda kunawa mikono!
 
Back
Top Bottom