Hii wasome wapenzi wa mpira wa miguu tu.

Hii wasome wapenzi wa mpira wa miguu tu.

Kasongo

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2007
Posts
3,150
Reaction score
2,273
Timu ya Tanzania katika juma imecheza.michezo ya kirafiki na Timu kubwa za Soka Afrika;Timu ya Alijeria na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Mchezo wa kwanza Stars ikafungwa 4-1 nchini Aljeria na leo 27 Machi Stars ikashinda 2-0 dhidi ya Congo DR.Nawapongeza sana TFF kwa kufanikiwa kuvishawishi vigogo hivi Afrika.Nimachowashauri TFF ni kwamba waandike barua kwa wenzao wa Aljeria na Congo DR kuwashukuru kukubali kucheza na Stars.Timu nyingi kubwa kubwa hiwa hazikubali kucheza kirahisirahisi na timu.ndogo (kwa viwango ya FIFA)
 
Tz v/s Congo ni 2 - 0
Ni kwel tunawapongeza TFF kwa juhudi zao na tunaomba wasikomee hapa.. wkt mwingine tupate mechi ngumu zaid
 
Jaman msimshangae huyu jamaaa ali bet handicap
 
FIFA WAKIPANGA HAKUNA WAKUPANGUA HATA KAMA WAKIPANGA BRAZIL NA TZ UTACHEZA TU
FIFA wanapangaje match za kirafiki!!??. Match za kirafiki ni nchi moja inaomba kwa nchi nyingine, la msingi ni either match hiyo iwe katika calendar ya FIFA au la. Faida ya match kuwa ktk calendar ya FIFA ni kwamba timu hizo zitaingia kwenye Fifa ranking baada ya matokeo ya mwisho wa match hiyo. Kama match haiko kwenye calendar hiyo, huo utakua ni mchezo wa kujipima nguvu tu. FIFA hawapangi nchi ipi icheze na nani.
 
Tz v/s Congo ni 2 - 0
Ni kwel tunawapongeza TFF kwa juhudi zao na tunaomba wasikomee hapa.. wkt mwingine tupate mechi ngumu zaid
Tff anahusikaje apo??? anaepanga mech za kimataifa ni FIFA pekee
 
Back
Top Bottom