Hii wiki watu wengi wanaumwa

Utotoni umetumia mseto? U must be a kid.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], hii kweli labda phase ya chuoni kwake pia ni utotoni.


Maana enzi zako najua umetumia Sana mwarobaini, majani ya mpera. Ukizidiwa ndio chloroquine ( tene sio hydrochloroquine). Na Quinine.


Hizi SP, Co Art, Alu etc zimekukuta Malaria Ushaizoea[emoji38][emoji38]
 
siriaz mi toka juzi nimekuwa na mwili mzito saana..napata ucngiz wa kutisha tisha naona kama mwili sio wangu vilee.sina mafua wala kifua ila ndo hivyoo
 
Uliponea chupuchupu na corona,,mbona hujachinja hata ng'ombe ya shukrani utualike tuje kula?[emoji6][emoji6]
Mkuu....
Wapi nilisema ninaumwa Corona..??
Lakini pia kama ni almanusura, wapo pia wengi walio bahatika kuepuka vifo kwa ajali pia..
 
Watanzania wengi sana wanaumwa huu mwezi nadhani ni kwa sababu ya hali ya hewa.hakuna mwanafamilia ambaye hajashikwa na mafua, kikohozi, bawasili, UTI, Tumbo, homa, kuongea mwenyewe barabarani, viungo na kutapika
Tunakiacha kipupwe tunaenda kwenye majira ya joto na mvua za vuli kwa baadhi ya maeneo,kwahiyo lazima kuwe na mabadiliko kwenye miili yetu...
 
Mkuu....
Wapi nilisema ninaumwa Corona..??
Lakini pia kama ni almanusura, wapo pia wengi walio bahatika kuepuka vifo kwa ajali pia..
Ulisema ulienda ziara kikazi,dreva wako akaugua corona,na wewe ukawa una challenge za kupumua,,tukakupa ushauri nasaha humu humu,😊😊
 
Ulisema ulienda ziara kikazi,dreva wako akaugua corona,na wewe ukawa una challenge za kupumua,,tukakupa ushauri nasaha humu humu,[emoji4][emoji4]
Dahhhh....
Mkuu, ebu acha kunisingizia.
Kwanza sijawahi kuendeshwa/kuwa na dereva.
Pili hakuna popote humu jf penye nimewahi kuandika kwamba ninaumwa Corona...
 
siriaz mi toka juzi nimekuwa na mwili mzito saana..napata ucngiz wa kutisha tisha naona kama mwili sio wangu vilee.sina mafua wala kifua ila ndo hivyoo
Mkuu fanya mazoezi hata ya kukimbia
 
Dahhhh....
Mkuu, ebu acha kunisingizia.
Kwanza sijawahi kuendeshwa/kuwa na dereva.
Pili hakuna popote humu jf penye nimewahi kuandika kwamba ninaumwa Corona...
Embu acha kunisingizia , kwanza sijawahi kuendeshwa/kuwa na dereva[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Walahi tena mkuu, msema kweli ni mpenzi wa mungu
 
Hahahahaha,,. Nimecheka sana mkuu inawezekana wewe mshuwa ila washua wengi ukiwa unawapa masifa yao hawayataki kuyapolea [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Duhhhh....[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…