Hii wiki watu wengi wanaumwa

Hii wiki watu wengi wanaumwa

Mi mafua yamenibana week ya pili sasa,shatumia dawa nimechoka nasubiri yapone yenyewe.Yani naenda kazini na leso mbili zinajaa zote mpk Muda wa kutoka.
 
Watanzania wengi sana wanaumwa huu mwezi nadhani ni kwa sababu ya hali ya hewa.hakuna mwanafamilia ambaye hajashikwa na mafua, kikohozi, bawasili, UTI, Tumbo, homa, kuongea mwenyewe barabarani, viungo na kutapika
Mtaa wa Ufipa ndo wanaongoza kwa tatizo hili
 
Duh pole aisee lakini sio tatizo la upumuaji
No! sio upumuaji, alistuka tu usingizini akaanza kukohoa mfululizo kama dk 20 then akaacha kukohoa, akajilaza, kuja kumcheck akawa keshaaga dunia, tunamshukuru Mungu kwa maisha yake ya miaka 85 duniani na kifo chake kimekuwa chema
 
Poleni sana wandugu bwana alitoa bwana ametwaa jina lake liimidiwe amina
 
Ulisema ulienda ziara kikazi,dreva wako akaugua corona,na wewe ukawa una challenge za kupumua,,tukakupa ushauri nasaha humu humu,[emoji4][emoji4]
Mkuu.kuna uwezekano ilikua chai ndomana mzee baba kasahau kuwa aliwai kulia sana hapa kwamba ana dalil zote
 
Mkuu.kuna uwezekano ilikua chai ndomana mzee baba kasahau kuwa aliwai kulia sana hapa kwamba ana dalil zote
Mkuu, hakuna kitu naiogopa kama kung'ata shuka, ingawa ninatambua kwamba siku yaja na nitakufa na kuzikwa na nitaoza na kusahaulika.
 
Back
Top Bottom