Asee nimescroll hadi january ule uzi siuoni,itakuwa nimechanganya,sorry.Walahi tena mkuu, msema kweli ni mpenzi wa mungu
Mtaa wa Ufipa ndo wanaongoza kwa tatizo hiliWatanzania wengi sana wanaumwa huu mwezi nadhani ni kwa sababu ya hali ya hewa.hakuna mwanafamilia ambaye hajashikwa na mafua, kikohozi, bawasili, UTI, Tumbo, homa, kuongea mwenyewe barabarani, viungo na kutapika
Labda haujavaa muwani....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asee nimescroll hadi january ule uzi siuoni,itakuwa nimechanganya,sorry..
No! sio upumuaji, alistuka tu usingizini akaanza kukohoa mfululizo kama dk 20 then akaacha kukohoa, akajilaza, kuja kumcheck akawa keshaaga dunia, tunamshukuru Mungu kwa maisha yake ya miaka 85 duniani na kifo chake kimekuwa chemaDuh pole aisee lakini sio tatizo la upumuaji
Poleni sana wandugu bwana alitoa bwana ametwaa jina lake liimidiwe aminaNo! sio upumuaji, alistuka tu usingizini akaanza kukohoa mfululizo kama dk 20 then akaacha kukohoa, akajilaza, kuja kumcheck akawa keshaaga dunia, tunamshukuru Mungu kwa maisha yake ya miaka 85 duniani na kifo chake kimekuwa chema
Mkuu.kuna uwezekano ilikua chai ndomana mzee baba kasahau kuwa aliwai kulia sana hapa kwamba ana dalil zoteUlisema ulienda ziara kikazi,dreva wako akaugua corona,na wewe ukawa una challenge za kupumua,,tukakupa ushauri nasaha humu humu,[emoji4][emoji4]
Niombee na Mimi mwalimu maana mafua yamenibana, naongea sauti ya maqhaba sasaba mchana.!!Pole sana kijana, nakuombea kwa Mungu upone haraka..
Yeremia 30:17Niombee na Mimi mwalimu maana mafua yamenibana, naongea sauti ya maqhaba sasaba mchana.!!
Mkuu, hakuna kitu naiogopa kama kung'ata shuka, ingawa ninatambua kwamba siku yaja na nitakufa na kuzikwa na nitaoza na kusahaulika.Mkuu.kuna uwezekano ilikua chai ndomana mzee baba kasahau kuwa aliwai kulia sana hapa kwamba ana dalil zote
Amen to that mwalimu wangu..!!🙏Yeremia 30:17
Zaburi 107:20
The purpose of our lives is to be happy...[emoji3526][emoji3526]Amen to that mwalimu wangu..!![emoji120]
Wafilipi 4;4The purpose of our lives is to be happy...[emoji3526][emoji3526]
Amen...[emoji120]Wafilipi 4;4