Hii ya Agness Masogange kutokea mtandao wa Media take out

walahi nikimpata lazima nichimbue 0713

We acha tu.... Maana ni shida sanaa. Tehe. Nakumbuka kuna siku nlikutana na mtoto mmoja hvi sehem sehem flan za burudani huko, mtoto brown alaf softy balaa, huo mzigo huko nyuma sasa utasema hapati choo....nikajikuta naropoka namba yangu ya simu, wakat sijaulizwa chochote. Daaaaah
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

mwenzangu nshaliona yani ni sheeda, kwa promo hizo takko litaachaje kuliwa labda
 
Last edited by a moderator:
mwenzangu nshaliona yani ni sheeda, kwa promo hizo takko litaachaje kuliwa labda

Yaani kuna mijanaume ina uchu, asikwambie mtu.
Wacha wamtafune....na hivo alikuwa mwarabu, fumufumu, rinda kuleeee.....kibikini hukoooo.
Kabaki meng'enuuuuu kama samaki aliyekosa viungo
 
Madame B

Ila anazidi kunoga ka mke wa mcharo naona south imemkubali
 
Last edited by a moderator:
Dahh yaani ile zamani ilikuwa poa sana jamani.
Sijui kama itajirudia tena.

Yaani inabidi tufanya mpango angalau tuonane mweeeee
yan kwa kweli!!
Hebu.fanya mchakato yakinifu wa the dreamteam teineeer!!

Wapi cacico
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…