THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Siasa za Tanzania umeanza kuzifatilia jana unakumbuka Sakata la Makonda na yeye unakumbuka aliwekwa ndani kisa Lowasa..Akitekwa shauri yake
watamuweka ndani tena?Siasa za Tanzania umeanza kuzifatilia jana unakumbuka Sakata la Makonda na yeye unakumbuka aliwekwa ndani kisa Lowasa..
Ndani aende wapi mkuu Loth daah mpaka uambiwe nae ni system ndio utaelewa..watamuweka ndani tena?
haaminiki sana kivile, ni mwanamikakati mahiri, huenda anageuza upepo fulani unaovuma nchiniSimuamini sana.
Bebe nang'oo 🤣😂 unajua wazee wa KISUKUMA ni wababe Sana Sanaa ni watu waungwana na hawapendagi uonevu.Kuna vitu viwili hua tunavichanganya sana DHARAU na JEURI.
DHARAU ni kitu chepesi sana dharau anakua nayo mtu yeyote,...ndio maana Wanyakusya hua mnasema wandharau 😁..hakuna Mnyakusya Jeuri au mweye kiburi so elewa dharau unaweza ipata kwa mtu yeyote.
Ila kuna kitu inaitwa UJEURI hii anakuaga nayo mtu JASIRI tu hii wanayo sana Wasukuma na wakurya😂
Na mtu JASIRI ni mtu always hua ana uhakika na kile anakisema au kukiamini.
Cc:Samia
tunaambiwa tuzifuatilie siasa kwa kuwa huamua hatma ya maisha yetu ya kila siku kwa kila nyanjaSiasa n mchezo mchafu sana.
Hilo liko wazihaaminiki sana kivile, ni mwanamikakati mahiri, huenda anageuza upepo fulani unaovuma nchini
Ila ukweli kasema tena ukweli pure akitekwa mwanao ndo utaamin bestSimuamini sana.
Bebe nang'oo
Ni kweli ila ni moja kati ya njia hatari sana kuiamini.tunaambiwa tuzifuatilie siasa kwa kuwa huamua hatma ya maisha yetu ya kila siku kwa kila nyanja
Yaelekea ana backup kubwa nyuma yake, rejea yule aliyeomba Mwenyekiti awapishe mkutanoni, wakaja wawili mwingine Ngosha mwingine Mangi wakapinga utaratibu unaotumika kumpata mgombea wa yellow, majuzi kati kuna vijani wawili wametoa clip wakisema kuna kundi kubwa la greens wanasaidia mawazo upande wa ng'ambo usikuIla kuna kitu inaitwa UJEURI hii anakuaga nayo mtu JASIRI tu hii wanayo sana Wasukuma na wakurya😂
Na mtu JASIRI ni mtu always hua ana uhakika na kile anakisema au kukiamini.
Kuna vitu viwili hua tunavichanganya sana DHARAU na JEURI.