Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Gwajima kafanya aliyoyafanya kwa sababu ana-resource za kujilinda kama walinzi mwangalie mdude pale kwake hana ulinzi ndo maana ilikuwa rahisi kumvamia ila ni ngumu kwa gwajima sababu ya ulinzi aliokuwa naoKuna vitu viwili hua tunavichanganya sana DHARAU na JEURI.
DHARAU ni kitu chepesi sana dharau anakua nayo mtu yeyote,...ndio maana Wanyakusya hua mnasema wandharau 😁..hakuna Mnyakusya Jeuri au mweye kiburi so elewa dharau unaweza ipata kwa mtu yeyote.
Ila kuna kitu inaitwa UJEURI hii anakuaga nayo mtu JASIRI tu hii wanayo sana Wasukuma na wakurya😂
Na mtu JASIRI ni mtu always hua ana uhakika na kile anakisema au kukiamini.
Cc:Samia
Gavrilo Princip - a Bosnian Serb student who set a chain of events that resulted in the WWI.
He assassinated Archduke Franz Ferdinand, heir presumptive to the throne of Austria-Hungary, and his wife Sophie, Duchess von Hohenberg, in Sarajevo on 28 June 1914.
Raisi mtukufu mtarajiwa acha kuwa mnyonge sisi tupo nyuma yako nikisoma thread zako nakuelewa Sana umetoa ahadi kede kede nzurii nzurii huu ni muda wewe NDIE MBEBA MAONO TUVUSHE BABA.Tofautisha kutumia hisia na kuwa jasiri unachanganya mambo
Wako watu wapole na wastaarabu ila ni majasiri
Jasiri sio muongeaji bali anambinu za kutekeleza jambo kwa vitendo na majibu chanya yakaonekana unaweza ongea tu mambo ya hovyo yakaendelea tu
Afrika na Tanzania bado hatuna majasiri ndo maana mpaka navyoongea kuna umaskini na mambo mengi ya hovyo japokuwa kuna waongeaji wengi
Gwajima ana-utajiri means anaweza kuwa na walinzi hata wale wajana walikuwa wamemzunguka pande zote ni walinzi
Mimi na wewe tukiongea kama gwajima tunapotezwa hatuna ulinzi na hatujulikani
Aliyosema ni uongo?haaminiki sana kivile, ni mwanamikakati mahiri, huenda anageuza upepo fulani unaovuma nchini
ni kweli ila inaonekana anageuza upepo fulani unaovuma uelekee kwingine. Kimsingi haaminiki hata kama anasema ukweliAliyosema ni uongo?
Kwanini tusijadili hoja yake zaidi, kuliko yeye binafsi? Kwasababu kutojadili hoja yake ni kugeuza upepo kama ulivyosema.ni kweli ila inaonekana anageuza upepo fulani unaovuma uelekee kwingine. Kimsingi haaminiki hata kama anasema ukweli
Tayari ufalme umefitinika na haya yanatokea ili Lisu apite katikati yao kama anaenda Galilaya bila ya wao kuaminiThe system in the making... Ilikuwa ni lazima apatikane mtu kati yao kuyasema haya.. Yaani kutibua maji vyura watoke
Huwezi kutumia silaha zote kwa wakati mmoja.Tusitoke kwenye tamani, au tukabadili chorus ya NRNE, tulishapiga Kelele sana kuhusu utekaji Gwajima mwenyewe alikaa kimya, sisi tuendelee na NRNE halafu wao watakanyagana kuhusu kutekana
cha msingi hapa ni kujadili hoja bila kujali kama anafanya abrakadabraKwanini tusijadili hoja yake zaidi, kuliko yeye binafsi? Kwasababu kutojadili hoja yake ni kugeuza upepo kama ulivyosema.
Gwajima ni taasisi.Tofautisha kutumia hisia na kuwa jasiri unachanganya mambo
Wako watu wapole na wastaarabu ila ni majasiri
Jasiri sio muongeaji bali anambinu za kutekeleza jambo kwa vitendo na majibu chanya yakaonekana unaweza ongea tu mambo ya hovyo yakaendelea tu
Afrika na Tanzania bado hatuna majasiri ndo maana mpaka navyoongea kuna umaskini na mambo mengi ya hovyo japokuwa kuna waongeaji wengi
Gwajima ana-utajiri means anaweza kuwa na walinzi hata wale wajana walikuwa wamemzunguka pande zote ni walinzi
Mimi na wewe tukiongea kama gwajima tunapotezwa hatuna ulinzi na hatujulikani
ExactlyGwajima ni taasisi.
Wewe umemjuwa leo Gwajima.Gwaji boy Mzee wa kwenda na upepo
abrakadabra ni hofu zisizokuwepo(fear of unknown)cha msingi hapa ni kujadili hoja bila kujali kama anafanya abrakadabra
Gwaji ni prototype ya jinsi gani mtanzania mkweli anatakiwa kua act against maovu.Kuna vitu viwili hua tunavichanganya sana DHARAU na JEURI.
DHARAU ni kitu chepesi sana dharau anakua nayo mtu yeyote,...ndio maana Wanyakusya hua mnasema wandharau 😁..hakuna Mnyakusya Jeuri au mweye kiburi so elewa dharau unaweza ipata kwa mtu yeyote.
Ila kuna kitu inaitwa UJEURI hii anakuaga nayo mtu JASIRI tu hii wanayo sana Wasukuma na wakurya😂
Na mtu JASIRI ni mtu always hua ana uhakika na kile anakisema au kukiamini.
Cc:Samia
Naona Tangazo la kuondoa hiyo press you tubeThe system in the making... Ilikuwa ni lazima apatikane mtu kati yao kuyasema haya.. Yaani kutibua maji vyura watoke
Akili za wabongo bhana ujuaji mwingi, mtu akisema hivi oooh anataka kugeuza upepo, hii kauli uwa ni ya kijinga sana iliyojaa ujuaji wa kipumbavuhaaminiki sana kivile, ni mwanamikakati mahiri, huenda anageuza upepo fulani unaovuma nchini
haya endelea kumuamini gwajimaAkili za wabongo bhana ujuaji mwingi, mtu akisema hivi oooh anataka kugeuza upepo, hii kauli uwa ni ya kijinga sana iliyojaa ujuaji wa kipumbavu
Aliyoyasema yanageuza upepo gani wakati ndo mambo yanayozungumziwa na yanawaumiza watu, hao wana harakati wa kenya na uganda si ndo habari inayongelewa kwa sasa na gwajima kaiongelea pia, ni upepo upi anaotaka kuuzima?
Mungu mbariki Askofu Gwajima!Kuna vitu viwili hua tunavichanganya sana DHARAU na JEURI.
DHARAU ni kitu chepesi sana dharau anakua nayo mtu yeyote,...ndio maana Wanyakusya hua mnasema wandharau 😁..hakuna Mnyakusya Jeuri au mweye kiburi so elewa dharau unaweza ipata kwa mtu yeyote.
Ila kuna kitu inaitwa UJEURI hii anakuaga nayo mtu JASIRI tu hii wanayo sana Wasukuma na wakurya😂
Na mtu JASIRI ni mtu always hua ana uhakika na kile anakisema au kukiamini.
Cc:Samia
Watatoka lakini au mpaka yatibuliwe zaidi?The system in the making... Ilikuwa ni lazima apatikane mtu kati yao kuyasema haya.. Yaani kutibua maji vyura watoke