Hii ya babati haijakaa sawa kabisa.. mwananchi anakwambia kamanda kituo chako flan ndio tatizo la gongo..wanakamatwa

Hii ya babati haijakaa sawa kabisa.. mwananchi anakwambia kamanda kituo chako flan ndio tatizo la gongo..wanakamatwa

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
HII MAMBO NDIO MAANA SIJAWAHI AMINI ZIKE OFISI KUPELEKEA MATATIZO YA MTAANI

KWA WALIOONA ITV MWANANCHI ANALALAMIKA MBELE YA WAH NA KAMANDA KAIMU

ANASEMA KITUO X NDICHO KINACHAGIA WAUZA GONGO KHA
WANAKAMATWA WATU KADHAA USIKUHUOHUO UNAWAKUTA WAMERUDI KILABUNI

Mh kaimu anasimama anasema

Mwananchi kama una malalamiko kituo kiko wazi umewpeleka taarifa wamekamatwa klabuni wamerudi ati urudi ukaulixe sababu xa kuwaachia pengine ushahidi aujatosheleza

Kweli??? aisee mtaogopesha watu hivi

Yaan watuhumiwa mnawakamata wakiwa kilabuni

Unawafikisha polisi wanatoka

Alafu nirudi kuulizia why wametoka wee najipendaa

Kiufupi ile majibu ya aina ile mh ungetoa njeya wananchi sio wananchi wasikie vile

Mbaya zaidi

Eneo hilo wamekufa tayari watu 10

Wananchi wanaomba wakamatwe wahusika ama mkapime gongo inà shida gani ??

Hope yule mwananchi yuko salama
 
Back
Top Bottom