Huelewi vipi Cajojo?Sure mimi pia nimejikuta sielewi hasa kwa ndoa zetu za kikristo
Kumbe dogo janja ana hela?Ana bahati ya kufuata mlio wa hela
Ya kula si habaKumbe dogo janja ana hela?
Mungu hachezewiIrene Kwanini alikataa kubadili dini mara ya kwanza Abadili Sasa hivi??
Irene anajua Hakuna ndoa hapo hizo ni kiki siku Mbili utasikia kaachika kurud Kwenye dini yake ya awali.
Nilikusubiri ile ahadi yako ndio kimya hadk leoUlikua wapi mdogo wangu??? Umepotea
Kwa hiyo jina lake nani kwa sasa maana kwa upande wetu huku ndoa ni moja tu kwake nao mauzauzaSure mimi pia nimejikuta sielewi hasa kwa ndoa zetu za kikristo
Sikuhizi wananjaa sana eh!?Ana bahati ya kufuata mlio wa hela
Mlio wa hela ndio unawapotezaAna bahati ya kufuata mlio wa hela
Anaitwa sheilaKwa hiyo jina lake nani kwa sasa maana kwa upande wetu huku ndoa ni moja tu kwake nao mauzauza
Kiki zao wanazifanya mpaka kwenye dini hatari Sana.Mungu hachezewi