Hii ya Irene Uwoya kuolewa mara mbili tuiite bahati??

Hii ya Irene Uwoya kuolewa mara mbili tuiite bahati??

Kalpana

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
32,603
Reaction score
62,269
Helo wana nzengo wa humu jukwani.
Hii tuite ni bahati kwa mwana dada Irene uwoya kuolewa mara mbili tena kihalali kabisa. Ya mwanzo kanisani na sherehe ya kufa mtu na hii sasa ya kiislamu.

Kwa wadada ambao hawajapata bahati ya kuolewa huko bongo movie wanajisikiaje mwenzao kuolewa mara mbili wakati wao hata ya mkeka tuu hawajawahi.

Hii inaonyesha mwanadada anamvuto sana au ndo vyuma vimekaza watu wanatafuta pa kujisitiri. Karibuni
 
Hii ndoa. Kiukweli hata Mimi nipo njia panda.

Kuna wakati siamini Kama kweli imetokea.
 
Back
Top Bottom