Hii ndoa. Kiukweli hata Mimi nipo njia panda.
Kuna wakati siamini Kama kweli imetokea.
Mhhh time will tellUsikute movie mana Yule director wa bongo movie anaitwa uwezo alituma clip ya harusi IG ikaonyesha director Uwezo nimejiuliza kwani zile kanda za harusi kunakuwaga na director au ndio mapichapicha ya bongo movie
Mlio wa hela ndio unawapoteza