Hii ya Irene Uwoya kuolewa mara mbili tuiite bahati??

Hii ya Irene Uwoya kuolewa mara mbili tuiite bahati??

Mwache atangetange muda ndo utaosema.........
 
Mwanamke akishaachika, kudumu katika ndoa ingine ni vigumu sana kwa vile hakuna mwanaume mkamilifu. Labda huyo mwanamke akubali kubadilika kabisa kimawazo na kimatendo
 
Ila kwa kawaida ya ubinadam zama hizi 'mwanamke akiwa mtu mzima akiolewa na kijana mdogo'kwa upande wa mwanamke atasifiwa kwa kua ataonekana bado wa moto.ila kwa mwanaume ni fedheha kwao maana hata wazazi watajua mtotowetu kajikwaa kwa jimama ambalo litampelekesha linavyotaka.

HII NI HATARI SANA ,ATAMUHALIBU MTOTO WA WATU KISAIKOLOJIA.
 
Hii ndoa. Kiukweli hata Mimi nipo njia panda.

Kuna wakati siamini Kama kweli imetokea.

Usikute movie mana Yule director wa bongo movie anaitwa uwezo alituma clip ya harusi IG ikaonyesha director Uwezo nimejiuliza kwani zile kanda za harusi kunakuwaga na director au ndio mapichapicha ya bongo movie
 
Mhhh time will tell
 
Back
Top Bottom