Hii ya Irene Uwoya kuolewa mara mbili tuiite bahati??

Uwoya pia ni mrembo! sio bahati tu, mwanaume yeyote rijali lazima avutiwe nae!
 
Hakuna cha bahati wala nini hasa hii ya 2
 
Nini uwoya, kuna kitu wastara bana kama ndoa ni bahati basi ye ndio anaongoza bongo movie yote....
Anaolewa usiku asubuhi anaachika, usiku tena ndoa nyingine
 
Hahaàa hyo ni sio bahati ni ngekewa
 
Back
Top Bottom