Hii ya Kagere ndio KUBWA KULIKO 900m

Hii ya Kagere ndio KUBWA KULIKO 900m

Hivi hiyo 1.2 yote inaenda kwa mikia,...??
 
Mkuu wakubalie hawa wake za moo hela zote zinaenda kwa mume wao moo wao watabaki kumupikia na kumuoshea vyombo na kumpelekea maji ya kuoga bafuni watakachofaidi watanunuliwa mateneti wavae
Hakuna mchezaji wa 1.2b anayecheza Tanzania kwa sasa. Acheni upotoshaji.
 
Mkuu wakubalie hawa wake za moo hela zote zinaenda kwa mume wao moo wao watabaki kumupikia na kumuoshea vyombo na kumpelekea maji ya kuoga bafuni watakachofaidi watanunuliwa mateneti wavae
napenda sana shombo za namna hii...nikuulize..ivi hyo hela ninyi vyura fc mkiuza maderA yenu ya njano na kijani mtaipatia wapi..?
 
Yanga f. c wamekusanyana kutwa yote na ile kubwa yao wakapata 900m, wenzao MTU mmoja tu anawaletea KUBWA KULIKO yaani 1.2billion. Sunche na Kapeto bhana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
MKUU SIJAELEWA HAPA KIDOGO NITOE TONGOTONGO , HIYO 900M NDIO HELA YAKE YA USAJILI AU KAIINGIZIA SIMBA ...
 
Iyo n fee ya usajiri person wamesha malizana mk 14 uyo zamarek
 
MKUU SIJAELEWA HAPA KIDOGO NITOE TONGOTONGO , HIYO 900M NDIO HELA YAKE YA USAJILI AU KAIINGIZIA SIMBA ...
Hapana pesa ambayo Yanga amekusanya kwenye campaign yao ya miezi miwili.. Kwa Simba wanaweza pata 1.2billion endapo wataamua kumuuza mchezaji mmoja tu.
 
Mkuu umesoma accounts kidogo? Kama mmeingiza hiyo 1.2B upande wa pili mmepoteza Kagere mwenye thamnani ya 1.2B net Ni 0!
Kwenye mpira kuna replacement mkuu, Liverpool walimuuza Coutinho pesa ambayo iliwapa Virgil Van dijk pamoja na Alison ambao wamewapa faida kubwa, Kagere kwa pesa hii tunaweza kuingiza watu hata watatu kwa mahitaji yetu and still nothing to regret
 
Hapana pesa ambayo Yanga amekusanya kwenye campaign yao ya miezi miwili.. Kwa Simba wanaweza pata 1.2billion endapo wataamua kumuuza mchezaji mmoja tu.
HUU ushabiki maandazi tuuache tuangalie future ya mpira wetu.Simba huwa ni Mbumbumbu lakin nadhani wewe umezidi viwango.
Suala la wachezaji ni very complecated kuliko unavyozani.Hakuna kiwango kama hicho simba wanapata ama wana hela yoyote ya kufanya hayo.siku ukiacha umbumbu na kuanza kufuatilia uhalisia basi utaelewa
 
Back
Top Bottom