Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapenda 'mkia' eeh?Hivi hiyo 1.2 yote inaenda kwa mikia,...??
Unapenda 'mkia' eeh?
Ndio.Jibu kwanza.. inaenda kwa mikia...??
Ndio.
Haya sasa zamu yako kujibu!!
Unaupenda mkia eeh?
Hakuna mchezaji wa 1.2b anayecheza Tanzania kwa sasa. Acheni upotoshaji.
napenda sana shombo za namna hii...nikuulize..ivi hyo hela ninyi vyura fc mkiuza maderA yenu ya njano na kijani mtaipatia wapi..?Mkuu wakubalie hawa wake za moo hela zote zinaenda kwa mume wao moo wao watabaki kumupikia na kumuoshea vyombo na kumpelekea maji ya kuoga bafuni watakachofaidi watanunuliwa mateneti wavae
MKUU SIJAELEWA HAPA KIDOGO NITOE TONGOTONGO , HIYO 900M NDIO HELA YAKE YA USAJILI AU KAIINGIZIA SIMBA ...Yanga f. c wamekusanyana kutwa yote na ile kubwa yao wakapata 900m, wenzao MTU mmoja tu anawaletea KUBWA KULIKO yaani 1.2billion. Sunche na Kapeto bhana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona nimesikia wakala wake Patrick Gakumba kakanusha hizo taarifaIyo n fee ya usajiri person wamesha malizana mk 14 uyo zamarek
Hapana pesa ambayo Yanga amekusanya kwenye campaign yao ya miezi miwili.. Kwa Simba wanaweza pata 1.2billion endapo wataamua kumuuza mchezaji mmoja tu.MKUU SIJAELEWA HAPA KIDOGO NITOE TONGOTONGO , HIYO 900M NDIO HELA YAKE YA USAJILI AU KAIINGIZIA SIMBA ...
Kwenye mpira kuna replacement mkuu, Liverpool walimuuza Coutinho pesa ambayo iliwapa Virgil Van dijk pamoja na Alison ambao wamewapa faida kubwa, Kagere kwa pesa hii tunaweza kuingiza watu hata watatu kwa mahitaji yetu and still nothing to regretMkuu umesoma accounts kidogo? Kama mmeingiza hiyo 1.2B upande wa pili mmepoteza Kagere mwenye thamnani ya 1.2B net Ni 0!
HUU ushabiki maandazi tuuache tuangalie future ya mpira wetu.Simba huwa ni Mbumbumbu lakin nadhani wewe umezidi viwango.Hapana pesa ambayo Yanga amekusanya kwenye campaign yao ya miezi miwili.. Kwa Simba wanaweza pata 1.2billion endapo wataamua kumuuza mchezaji mmoja tu.