King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hii hatari sana sasa wapi kuna usalama maana YARD nako nasikia ujanja ujanja tu , mkononi nako ujanja ujanja tu labda sasa niagize mwenyewe japan
Hii hatari sana sasa wapi kuna usalama maana YARD nako nasikia ujanja ujanja tu , mkononi nako ujanja ujanja tu labda sasa niagize mwenJamaa yangu alishawahi kufanyiwa huo Uhuni ndio nilikuja kumtonya gari ilikuwa na km chini ya 50000,wajapenga walivyotuma B/L nikamwambia anitumie Chassis number ,nikaingia online kuisearch ile Chassis ikanipa link ya hiyo gari ilikuwa Tradecarview inauzwa,kuifungua hiyo link nikakuta kweli ni gari ile ile ila km zilikuwa halisi ni zaidi ya laki baada ya kuangalia vizuri ni kwamba wajanja waliomuuzia walifuta tu moja ya mwanzoni na kubakiza digits za mbele.
Nashukuru kwa ushauri kama kuagiza itabidi niongeze budget maana TRA huko wana mabao ya mkono huko, ndio maana nikawa nataka nipate hapa hapa kwa waswahili wenzangu lakini sasa kwa trend hii nishaingia hofu kubwa.Aliuziwa na Mbongo ambaye anaishi japan na anafanya biashara ya kuuza vitu used kama anavyofanya Chris Lukosi ,ila inaonekana na yeye aliiununua tradecarview na kumuuzia jamaa yangu.....km za trade carview ni zaidi ya laki ila alivyotumiwa B/L na mbongo km zilikuwa chini ya elfu 50...Tulivyofanya comparison tukagundua ile digit ya mwanzoni ndio aliondoa(kupunguza) zile nyingine zilibaki vilevile.
Gari za Japan nunua yenye km zaidi ya laki maana itakuwa imefanyiwa service nzuri.
Jamaa yangu alishawahi kufanyiwa huo Uhuni ndio nilikuja kumtonya gari ilikuwa na km chini ya 50000,wajapenga walivyotuma B/L nikamwambia anitumie Chassis number ,nikaingia online kuisearch ile Chassis ikanipa link ya hiyo gari ilikuwa Tradecarview inauzwa,kuifungua hiyo link nikakuta kweli ni gari ile ile ila km zilikuwa halisi ni zaidi ya laki baada ya kuangalia vizuri ni kwamba wajanja waliomuuzia walifuta tu moja ya mwanzoni na kubakiza digits za mbele.
Naomba muongozo hii ya chasis namba naitumiajeMkuu asante sana ....umenikumbusha njia ya uhakika zaidi ni hiyo ya kutumia chassis number na dunia mzima hutumia njia hiyo hata kujua kama gari ni ya wizi huko ulaya, narudia kusema asante sana ....JF ni dictionary ya maisha ya kila mtu na sote tuseme "Kazi iendeleee"
mkuu nakuomba PM, nimeshindwa kukutumia msg. nina shida serious
Hii hatari sana sasa wapi kuna usalama maana YARD nako nasikia ujanja ujanja tu , mkononi nako ujanja ujanja tu labda sasa niagize mwen
Nashukuru kwa ushauri kama kuagiza itabidi niongeze budget maana TRA huko wana mabao ya mkono huko, ndio maana nikawa nataka nipate hapa hapa kwa waswahili wenzangu lakini sasa kwa trend hii nishaingia hofu kubwa.
Naomba muongozo hii ya chasis namba naitumiaje
Unawezaje kujua kama engine bado ina ubora mkuu?Kwa kifupi kurudisha kilometers ni jambo lipo kabisa.
Sasa kama unataka kununua gari second hand especial kama hiyo kuna vitu vya kuangalia
1. Bado hiyo injini iko kwenye ubora?
2.Body
3.Bei iendane na gari anayokuuzia ...Gari kama hiyo kilometers si kitu cha kuongelewa tena.
Bibi Mzee ni Bibi Mzee hata kama hakufanikiwa kupata Mtoto ...hawezi jiita msichana.
Sasa hizi tabu si bora uingie show room tu! Upate na makazi ya upelelezi kisa unataka ununue gari ya million 5Mchezo huo upo 100% hapa Tz hasa ukinunua kwa mtu asiye mwaminifu/vishoka au madalali, pia kuwa mwangalifu sana unapenda kwenye show room za hapa kwetu mtaani magari mengi yamefanyiwa utundu huo wa kurudisha nyuma Km ili gari ipate sko kwa bei ya faida kubwa,
Kabla ya kununua gari kama hiyo jiridhishe na historia yake toka kwa watu waliokaribu nay , peleleza gereji gani ilikuwa inapelekwa toka kwa watu kama houseboy wa nyumba hiyo, watoto wa nyumbani hapo, majirani na hasa vijana wa mtaani watakupatia details zote muhimu kuhusu mwenendo wa gari husika,
Mwish kabisa take trouble ya kupata document halisi zilizoleta hiyo gari nchini na umjue muuzaji toka huko ilikokuwa then contact him na akiwa na ushirikiano atakupa mre details
Kwa hio gari hizo bado ni KM ni chache ni ujinga tu wa wamiliki wa magari bongo + ujinga wa wanunuzi kupenda kudanganywa kwa gari kuonyesha KM chache.Kaondoa moja ya mwanzoni Km sahihi ni 138900.