Ngisibara
JF-Expert Member
- Jan 2, 2009
- 3,387
- 2,245
Sasa hizi tabu si bora uingie show room tu! Upate na makazi ya upelelezi kisa unataka ununue gari ya million 5
Wale waleee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hizi tabu si bora uingie show room tu! Upate na makazi ya upelelezi kisa unataka ununue gari ya million 5
Kwa hio gari hizo bado ni KM ni chache ni ujinga tu wa wamiliki wa magari bongo + ujinga wa wanunuzi kupenda kudanganywa kwa gari kuonyesha KM chache.
Hio gari hata ikiwa na km 170,000 mimi nainunua bila kelele kabisa lkn ukishaichezea tu KM siitaki hata kwa dawa.
Km halisi hua zipo kwenye document za importation haswa kwenye invoice na tbs certificate ya inspectionHii kitu inafanyika kila mahali labda kàma umenunua mpya kwa maana ya Zero Km, kama huamini nenda showroom yoyote, ulizia gari, waiwashe then soma Odometer utakuta ina range 50,000- 70,000km kwa asilimia kubwa kisha sikiliza mngurumo wa engine, kama ni mzoefu utajua tu kuwa imechezewa. Yaani nngurumo wa engine na odometer havina uuhusiano.
La mwisho, angalia kwenye safety belt kunakuaga na sticker au hapa mlangoni kwa chini (nashindwa kukueleza), kunakua na sticker inayoonyesha km gari ilikuja nazo though wengi wale waliobobea huwa wanazitoa, ukikuta wametoa hio label weka mashaka.
Ushauri, usinunue gari Tz kwa ushawishi wa uchache wa km, angalia bajeti yako, umuhimu wako wa kutaka gari muda huo, uzima wa body na kama Haina ajali na legal documents. Huu ni ushauri binafsi
Ina cc ngp Mkuu hyo Kluger? Naitaj kununua hyo gari mkuu, ila yenye 7 seat, .Niliwahi kununua Kluger namba B kutoka kwa mbongo yenye km 56k. Mwanzoni niliamini amechezea ODO lakini baadaye nilijiridhisha kwa kuona kadi za service kwani zote alizitunza kwa kuzipachika kwenye switch ya wiper. Kwa hiyo gari namba B zenye kilometer chache zipo kweli cha msingi ni kujiridhisha kama ni kweli hizo km ni za halali.
Zote hizi zinaeditiwaKm halisi hua zipo kwenye document za importation haswa kwenye invoice na tbs certificate ya inspection
Mkuu hauwezi kuedit hizo docs niamini sema tu hio gari BAC ilikuja kabla ya TANCIS maana hio gari imeingia around may 2009 ningekuangalizia vizuri OG KM zake mimi kuna gari namba ni BAC ilikuja na KM 55,000 lakini sasa hivi inasoma 187,000+ ilishakaaga mwaka 1 na miezi nane juu ya mawe...sio rahisi ku edit document zote hizo wanachokifanya wanaouza magari hawakupi invoice na document ya tbs ile inayogongwa muhuri bandariniZote hizi zinaeditiwa
KWA na huu mfumo wa kufanya inspection bongo ndiyo imekuwa balaa kabisa.
hivi huu mfumo mpya wa kufanya inspection bongo cost inakua kiasi gani kwa makadirio?Zote hizi zinaeditiwa
KWA na huu mfumo wa kufanya inspection bongo ndiyo imekuwa balaa kabisa.
Upelelezi wote huo unanunua Ndege?Mchezo huo upo 100% hapa Tanzania hasa ukinunua kwa mtu asiye mwaminifu/vishoka au madalali, pia kuwa mwangalifu sana unapenda kwenye show room za hapa kwetu mtaani magari mengi yamefanyiwa utundu huo wa kurudisha nyuma Km ili gari ipate sko kwa bei ya faida kubwa.
Kabla ya kununua gari kama hiyo jiridhishe na historia yake toka kwa watu waliokaribu nay , peleleza gereji gani ilikuwa inapelekwa toka kwa watu kama houseboy wa nyumba hiyo, watoto wa nyumbani hapo, majirani na hasa vijana wa mtaani watakupatia details zote muhimu kuhusu mwenendo wa gari husika.
Mwish kabisa take trouble ya kupata document halisi zilizoleta hiyo gari nchini na umjue muuzaji toka huko ilikokuwa then contact him na akiwa na ushirikiano atakupa mre details.
SGRUpelelezi wote huo unanunua Ndege?
Ila Ni sawa tu maana Wabongo bila kuwapiga fix hao jamaa wa Yard hawatauza hayo magarihivi huu mfumo mpya wa kufanya inspection bongo cost inakua kiasi gani kwa makadirio?
Kufanya haya yote ni bora usinunue hiyo gari.Mchezo huo upo 100% hapa Tanzania hasa ukinunua kwa mtu asiye mwaminifu/vishoka au madalali, pia kuwa mwangalifu sana unapenda kwenye show room za hapa kwetu mtaani magari mengi yamefanyiwa utundu huo wa kurudisha nyuma Km ili gari ipate sko kwa bei ya faida kubwa.
Kabla ya kununua gari kama hiyo jiridhishe na historia yake toka kwa watu waliokaribu nay , peleleza gereji gani ilikuwa inapelekwa toka kwa watu kama houseboy wa nyumba hiyo, watoto wa nyumbani hapo, majirani na hasa vijana wa mtaani watakupatia details zote muhimu kuhusu mwenendo wa gari husika.
Mwish kabisa take trouble ya kupata document halisi zilizoleta hiyo gari nchini na umjue muuzaji toka huko ilikokuwa then contact him na akiwa na ushirikiano atakupa mre details.
Ina cc ngp Mkuu hyo Kluger? Naitaj kununua hyo gari mkuu, ila yenye 7 seat, .
Mafuta inatumiaje Mkuu? Kwa mjini, highway ?Cc2300. Hii haina siti saba.
Niliwahi kununua Kluger namba B kutoka kwa mbongo yenye km 56k. Mwanzoni niliamini amechezea ODO lakini baadaye nilijiridhisha kwa kuona kadi za service kwani zote alizitunza kwa kuzipachika kwenye switch ya wiper. Kwa hiyo gari namba B zenye kilometer chache zipo kweli cha msingi ni kujiridhisha kama ni kweli hizo km ni za hamna kitu kama hicho kwa namba b hata kama iliingia zero mileage
Kufanya haya yote ni bora usinunue hiyo gari.
Umekuwa CIA?
://www.autodna.com/vin-check
Kwa kifupi punguza gharama na utapeli wao kwa kuagiza used Car from Japan kwani mie na hela yangu ya kuunga unga nilitembelea maduka mengi sana hapo Dar na mwisho nikagundua kuwa gharama ya kununua gari ndogo show room hapo Dar ni kubwa kuliko kuagiza Japan kwani baada ya kuifikisha show room walikuwa wanaongeza kitu kama M3 - 5 hivi na nilipowauliza hiyo tofauti wakaniambia bra bra kibao pamja na gharama za kulipia pango, kulipia walinzi, wafanyakazi wao, admin issues etc,
Wengi wetu huogopa kuibiwa mtandaoni lakini ukiwa makini hiyo ndio njia muafaka kuwakwepa matapeli wetu na njaa zao
hivi huu mfumo mpya wa kufanya inspection bongo cost inakua kiasi gani kwa makadirio?
Hapa naona hatununui gari tena tunafanya kazi za wazee wa kaunda suti[emoji16][emoji16][emoji16]Mchezo huo upo 100% hapa Tanzania hasa ukinunua kwa mtu asiye mwaminifu/vishoka au madalali, pia kuwa mwangalifu sana unapenda kwenye show room za hapa kwetu mtaani magari mengi yamefanyiwa utundu huo wa kurudisha nyuma Km ili gari ipate sko kwa bei ya faida kubwa.