Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Kwa mujibu wa Daktari bingwa wa Saratani Mama Dominiki Kombe anadai matibabu ya saratani ya tezi dume yanapunguza au kuua kabisa nguvu za kiume.yaani iwe kwa matibabu ya sindano,vidonge ama operation ndio maana watu wengi hawapendi kufanya matibabu ya hii ugonjwa wanaona bora wafe na uanaume wao(ulijali).
haya ameongea leo alipokua kupitia na BBC swahili na bwana Kikeke.
My take: Hapo kwenye kuua ama kupunguza nguvu za kiume ndo pagumu sana.
haya ameongea leo alipokua kupitia na BBC swahili na bwana Kikeke.
My take: Hapo kwenye kuua ama kupunguza nguvu za kiume ndo pagumu sana.