R Mbuna
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,283
- 5,371
Uliza tu mkuu yule hana shida kwa sababu hakuwahi kusema yeye hajaribiwi...Nilitaka kuuliza swali ila nimekumbuka akaunti yangu inasoma elfu hamsini tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliza tu mkuu yule hana shida kwa sababu hakuwahi kusema yeye hajaribiwi...Nilitaka kuuliza swali ila nimekumbuka akaunti yangu inasoma elfu hamsini tu
Kwa mujibu wa Daktari bingwa wa Saratani Mama Dominiki Kombe anadai matibabu ya saratani ya tezi dume yanapunguza au kuua kabisa nguvu za kiume.yaani iwe kwa matibabu ya sindano,vidonge ama operation ndio maana watu wengi hawapendi kufanya matibabu ya hii ugonjwa wanaona bora wafe na uanaume wao(ulijali).
haya ameongea leo alipokua kupitia na BBC swahili na bwana Kikeke.
my take: hpo kwenye kuua ama kupunguza nguvu za kiume ndo pagumu sana......
Muulize Mugabe,miaka 60 nguvu za kiume za nini?Mgonjwa hachagui tiba, ukiona mgonjwa anachagua dawa basi jua huyo si mgonjwa (haumwi)!!!
Miaka 60 nguvu za kiume za nini!!!!!
Uliza tu mkuu yule hana shida kwa sababu hakuwahi kusema yeye hajaribiwi...
Jaribu uone ladha ya seya wa mikwaloooNilitaka kuuliza swali ila nimekumbuka akaunti yangu inasoma elfu hamsini tu
Teh! Teh!Masikini JK
Inasemekana alishaambiwa kuwa hatapona na madaktari wa muhimbili kabla hajaenda huko german mkuu!Marehem spika alikataa kufanyiwa upasuaji kwa sababu hakutaka kupoteza nguvu matokeo yake ndio ikamuondoa inabidi ukubali matokeo tu km ukiwa nao
Ilishakuwa kwny stage mbaya...mwanzoni aliambiwa apasuliwe ila ndio yale mambo yetu asahau akagomaInasemekana alishaambiwa kuwa hatapona na madaktari wa muhimbili kabla hajaenda huko german mkuu!
Duhhh! Mungu atusaidie baba zetu jamani!Ilishakuwa kwny stage mbaya...mwanzoni aliambiwa apasuliwe ila ndio yale mambo yetu asahau akagoma
Mkuu hapa tunatumia Keyboard nadhani hakuna madhara . Kwa sababu version ya msemo wa keyboard kukiponza kichwa bado haijatoka.[emoji848].....mdomo ulimponza kichwa
Umefanya nikatabasam kwa nguvuTchaaaaaa... Kwa Mantiki hiyo fast Jet ndio kwishney?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unataka kumchokoza mzee mstaafuNilitaka kuuliza swali ila nimekumbuka akaunti yangu inasoma elfu hamsini tu
jitahidi ufe ungali kijana,,
- Kwa anayejua naomba kujua njia kama 5 za kujikinga na hiyo kitu.
Mgonjwa hachagui tiba, ukiona mgonjwa anachagua dawa basi jua huyo si mgonjwa (haumwi)!!!
Miaka 60 nguvu za kiume za nini!!!!!