Hii ya tezi dume Imenishtua kidogo

Hii ya tezi dume Imenishtua kidogo

Mambo ya kutiana madole na kukorokochoa sphincter muscles sio jambo jema kabisa. No wonder wazee wetu wanaamua kuji-sacrifice kufa. [HASHTAG]#Sex[/HASHTAG] martyrs
 
Kwa mujibu wa Daktari bingwa wa Saratani Mama Dominiki Kombe anadai matibabu ya saratani ya tezi dume yanapunguza au kuua kabisa nguvu za kiume.yaani iwe kwa matibabu ya sindano,vidonge ama operation ndio maana watu wengi hawapendi kufanya matibabu ya hii ugonjwa wanaona bora wafe na uanaume wao(ulijali).

haya ameongea leo alipokua kupitia na BBC swahili na bwana Kikeke.

my take: hpo kwenye kuua ama kupunguza nguvu za kiume ndo pagumu sana......


Mgonjwa hachagui tiba, ukiona mgonjwa anachagua dawa basi jua huyo si mgonjwa (haumwi)!!!

Miaka 60 nguvu za kiume za nini!!!!!
 
Marehem spika alikataa kufanyiwa upasuaji kwa sababu hakutaka kupoteza nguvu matokeo yake ndio ikamuondoa inabidi ukubali matokeo tu km ukiwa nao
Inasemekana alishaambiwa kuwa hatapona na madaktari wa muhimbili kabla hajaenda huko german mkuu!
 
Inasemekana alishaambiwa kuwa hatapona na madaktari wa muhimbili kabla hajaenda huko german mkuu!
Ilishakuwa kwny stage mbaya...mwanzoni aliambiwa apasuliwe ila ndio yale mambo yetu asahau akagoma
 
Ikiisha kuwa Cancer ni habari nyingine na maumivu yake ni mabaya sana.

Mkojo hautoki kabisa na utahangaika sana hata uingizwe mrija.
Jamani sio dhihaka ni ugonjwa mbaya sana ni vizuri kufanya check up ukifika 40
 
Mgonjwa hachagui tiba, ukiona mgonjwa anachagua dawa basi jua huyo si mgonjwa (haumwi)!!!

Miaka 60 nguvu za kiume za nini!!!!!

Trump kamwoa mkewe wa sasa mwaka 2005 akiwa na miaka 59
 
Back
Top Bottom