Hii ya tezi dume Imenishtua kidogo

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Kwa mujibu wa Daktari bingwa wa Saratani Mama Dominiki Kombe anadai matibabu ya saratani ya tezi dume yanapunguza au kuua kabisa nguvu za kiume.yaani iwe kwa matibabu ya sindano,vidonge ama operation ndio maana watu wengi hawapendi kufanya matibabu ya hii ugonjwa wanaona bora wafe na uanaume wao(ulijali).

haya ameongea leo alipokua kupitia na BBC swahili na bwana Kikeke.

My take: Hapo kwenye kuua ama kupunguza nguvu za kiume ndo pagumu sana.
 
Daaha kama unaweza kukaza kazaaa tuu ucjitbu wala nn

Kwahyo
Mh. Itakuwaje tena...
 
Ni kweli na ndio maana huo ugonjwa unaanza kusumbua mtu akifika miaka 60...
 
Hii habari imeniskitisha sana na kunishitua kwasabu sikujua kama kuna madhara haya!!!!
Ee mungu tu epushe na huu ugonjwa
Ila pia ni ugonjwa wa kihistoria yani unarithishwa...
 
Dahh kwahiyo kama kipindi cha nyuma kuna ndugu alishaugua watu mnakaa kwa kusikilizia
Unashauliwa ukapime ukifika age ya 45 na km hamna ndugu aliewahi kuugua unashauriwa pia ukapime kuanzia age ya 50
 
Reactions: GUI
Tchaaaaaa... Kwa Mantiki hiyo fast Jet ndio kwishney?! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Kwa anayejua naomba kujua njia kama 5 za kujikinga na hiyo kitu.
 
Ubaya hauna option maana ukiliacha linageuka kansa ni ni mateso yasiyoelezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…